Ndoo za plastik zinapokuwa madawati

MWAL_MKUUMGULASI_DARASANI_PIX_NO_2.JPG

Wanafunzi wa kidato cha kwanza katika shule ya sekondari ya Mgulasi katika Manispaa ya Morogoro,

If the Tanzanian government is corrupt, mp's arguing themselves about ufisadi and the president is not concerned with anything who will care about education? One day Tanzanians 've to wake up this CCM is not doing good for those who are not in politicians.
 
Inanipa mashaka kidogo...Mbona wanafunzi wenyewe ni wasafi sana(elegant), na wanaonesha kwamba wazazi wao wako fit kiasi, na wasingeweza kushindwa kuchanGIa madawati..!

Au ilikuwa ni picha ya kuomba msaada kupitia kwenye Media kama hivi....?

..........NETWORK SEARCHING.....!
 
kaka usafi hauna uhusiano na madawati!! serikali iwasaidie!
 
Back
Top Bottom