NDONDI: Keith Thurman atamba kumstaafisha Man Pacquiao kesho

Hivi mnadhani ni jambo dogo kupoteza usingizi kwa ajili ya mayweather?
Mayweather ni legend, aliweza kuwabadilisha mtazamo watu kwamba kuwa bondia mkubwa mwenye mafanikio sio lazima uwe heavyweight. Sema kizazi chake bado hakina mvuto wa kufikia enzi za kina Tyson, kustaafu kwa Tyson kuliondoka na wapenzi wengi wa masumbwi
 
Kabisa Kabisa. Ndondi ya Kipindi hicho ilikuwa ndondi kweli, siku hizi fix za biashara ndo zimeharibu mkuu. Mabondia uwezo wa kawaida promo kuuuubwa...
 
Mayweather ni legend, aliweza kuwabadilisha mtazamo watu kwamba kuwa bondia mkubwa mwenye mafanikio sio lazima uwe heavyweight. Sema kizazi chake bado hakina mvuto wa kufikia enzi za kina Tyson, kustaafu kwa Tyson kuliondoka na wapenzi wengi wa masumbwi
Huyu Mayweather naye amechangia sana kuizorotesha hamasa ya masumbwi. Ametengeza pesa nyingi lkn ameishushia morali kwa kitendo chake kwenda kupigana na katoto huko Japan
 
Kwa hyo kwa Sasa hivi ni mabondia gani wameshikilia nafasi za heavyweight duniani,maana Mimi kwa kutoelewa kwangu nilifikir kwamba kina Man Pacquiao ndio wapo viwango vya mwisho.
Labda nikutolee mfano katika soka,kuna timu za madaraja mbalimbali,daraja LA tatu,LA pili,LA kwanza na Ligi kuu, sasa madaraja ya Ndondi yanapangwa kulingana na range ya Uzito, Heavyweight kwa Kiswahili ni Mabondia wa Uzito wa Juu. Heavyweight haimaanishi mabondia wakali kama ilivyojengeka kichwani mwako, hao kina Pacquiao,Mayweather nk hawapo daraja LA Uzito wa Juu, hata kwa macho tu utaona vimiili vyao ni vidogo.

Kina Mike Tyson,Evander Holyfield,Mohammed Alli, Lennox Lewis hao ni Uzito wa Juu(Heavyweight) kundi moja na hawa wa Kisasa kina Anthony Joshua.Tafuta picha wakiwa pamoja Mayweather na Anthony Joshua ujionee utofauti ujiulize kama wangepambana ingekuwa uonevu kiasi gani.
 
Anthony Joshua kushoto akiwa na Floyd Mayweather
images%20(8).jpeg
 
Huyu Mayweather naye amechangia sana kuizorotesha hamasa ya masumbwi. Ametengeza pesa nyingi lkn ameishushia morali kwa kitendo chake kwenda kupigana na katoto huko Japan
Ile ilikuwa exhibition fight kufurahisha watu tu, ni kama mechi za kirafiki kwenye mpira, sio pambano rasmi ndio maana rekodi yake imebakia ileile 50-0-0, sio mbaya kutumia jina lake kupiga hela. Hiyohiyo exhibition fight ya Round 3 alipiga hela nyingi, hela ambayo top boxers hawaipati kwa mapambano yao rasmi, ni wachache tu labda Canelo na AJ wanaweza kuipata kwa pambano 1
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom