NDONDI: Deontay WILDER vs Luis ORTIZ kumaliza ubishi kesho..

Ndio nimrtoka kutucheck huu mpambano You Tube. Kwa maoni yangu Ortiz alifanya uzembe na kuruhusu ile punch ya maana kutua kwenye paji la uso.

Round zate mpaka ya sita alikuwa makini na alikuwa akiongoza kwa point. Uzembe tu round ya 7 akapaoteza pambano.

Unajua ni sheda sana kupambana na bondia anayetumia mkono wa kushoto! Muone PaqMan, Zabb Yuda, na Ortiz mwenyewe. Mara nyingi usimamaji wao ulingoni unawapa tabu wapinzani wao.
"When u fight with me u need to be perfect for 12 rounds, but i only need 2 seconds"-Wilder.

Sio rahisi kuwa perfect for 12 rounds, nayeye amesema huwa hawazi kuhusu kuloose rounds kama mabondia wengine, ndio maana hakupanic baada ya kuona round zote 6 kawa outboxed, anasema yeye huwa patient na kusubiria opportunity ambayo sikuzote huwa anaamini lazima ipatikane, ikipatikana ni 'goodnight'
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom