NDONDI: Deontay WILDER vs Luis ORTIZ kumaliza ubishi kesho..

Tyson alikuwa habari nyingine
Da! Really?? Hembu angalia mapambano ya Tyson tena vizuri.
Nikupe tu moja ya sifa kubwa ya Tyson ilikua ni skills na flexibility. Tofauti na heavyweight wengine. Jamaa hakua na habari za kuvunga vunga kizembe kama hili pambano la leo.
Ukumbuke pia katika tasnia ya michezo skills zina fade with age.
 
sawa tyson alikuwa na skills, lakini nae alikuwa anazidiwa ndio maana akapigwa, alipigwa na douglas akiwa under 30 yrs, boxing imekuwa ngumu ndio maana ni ngumu kuwa bingwa wa dunia na miaka 20 kama tyson, leo hii mabingwa wote wako above 28 yrs, skill na technic ziko juu, hakuna bondia mzembe
Hivi sijui kama Douglas uliwahi kungwangalia vizuri, yaani hata ukimfunga mkono mmoja bado atagaragaza hizi sambusa nyama kama akina Ortis na kampuni yake, ukisikia ngumi jiwe ndio hizo.
 
tyson huyu aliedundwa na yule muhuni hashim rahman, aliedundwa na douglas buster, aliemng'ata sikio evander holfield baada ya kuzidiwa, tyson hakuwa na pumzi za kumaliza raundi zote 12, alikuwa ikifika raundi ya 6 anachoka kama nguruwe
Evander kapigana wakati Tyson ajilia pension ya kustaafu, na pamoja na uzee wake waligundua ili wamshinde wasimpe nafasi ya kurusha ngumi , hapo ndio kushikana kuliposhika kasi. Ngumi za wazi round 4 ukifika basi Mungu yuko upande wako.
 
tyson huyu aliedundwa na yule muhuni hashim rahman, aliedundwa na douglas buster, aliemng'ata sikio evander holfield baada ya kuzidiwa, tyson hakuwa na pumzi za kumaliza raundi zote 12, alikuwa ikifika raundi ya 6 anachoka kama nguruwe
Tyson loss zake zote ni za KO, alikuwa anawahi kukata moto, namkubali zaidi Evander The Real Deal, jamaa alikuwa chuma kikoli moto, hata loss zake unaona mwana kapambana, sio za KO
 
Mabondia wa heavy weight kwa sasa ni aibu tupu, namiss sana ile crop ya akina Lennox Lewis, Klitcho, Evander, Kassim Rahman etc.
Tatizo la Wilder ni unpredictable, hata kizazi hicho angewasumbua tu, hakuna binadamu anayeweza kuhimili ile devastating power ya right hand, he is gifted on that na ndicho kinachomfanya kuwa unique, kwenye post fight speech leo amesema once u fight with him u need to be perfect for 12 rounds, but yeye anahitaji only 2 seconds n' that's the fact. Even legend George Foreman alishathibitisha kwamba Wilder is the hardest puncher of all time
 
Utakua umeanza kuangalia vitasa juzi ww.unasemaje?Wilder ni bondia mzuri lakini angekua kizazi Cha Mike iron Tyson asingewika.anawika sababu hakuna mabondia.
Kawaida yenu nyinyi kusifia vya kale wala haishangazi hata kwenye mpira bado watu hawataki kuukubali uwezo wa Christian Ronaldo na Messi kisa wachezaji wa zamani kama Maradona ,De Lima,Pele nk.
umbo la ortis na evander kuna tofauti gani? hata mike tyson alidundwa na douglas "buster" kwa KO, Tyson alikuwa anakutana na mabondia wabovu, hukumbuki tyson alivyomng'ata sikio evander? wilder yuko vizur hao akina lewis, evander wangekaa kwa wildr, tuwape heshima yao akina furry, joshua, wilder, hakuna bondia ambae hakuwahi kupigwa hata mohamed ali alishachezea vipigo sana
Da! Really?? Hembu angalia mapambano ya Tyson tena vizuri.
Nikupe tu moja ya sifa kubwa ya Tyson ilikua ni skills na flexibility. Tofauti na heavyweight wengine. Jamaa hakua na habari za kuvunga vunga kizembe kama hili pambano la leo.
Ukumbuke pia katika tasnia ya michezo skills zina fade with age.
Tyson alikuwa habari nyingine
Tyson loss zake zote ni za KO, alikuwa anawahi kukata moto, namkubali zaidi Evander The Real Deal, jamaa alikuwa chuma kikoli moto, hata loss zake unaona mwana kapambana, sio za KO
Wazee nimeongelea swala la Tyson kwa Kirefu nimeona kujengeana hoja kwenye uzi huu ni kujibana.

Utarukaruka muda wote , utafanya mbwembe zote, lkn kosa moja tu, unakutana na puch moja tu ambayo ndiyo hitimisho la yote hayo, that is Wilder! Haina ubishi ni bondia bora Sana kwa sasa
 
Ortiz alipigana vizuri tu raundi zote lakini lile lijamaa lilikuwa linamlia timing.. kudadeki yaani panchi moja mulemule ortiz kakutana nayo..aiseee wilder sio mtu mzuri
 
Ndio nimrtoka kutucheck huu mpambano You Tube. Kwa maoni yangu Ortiz alifanya uzembe na kuruhusu ile punch ya maana kutua kwenye paji la uso.

Round zate mpaka ya sita alikuwa makini na alikuwa akiongoza kwa point. Uzembe tu round ya 7 akapaoteza pambano.

Unajua ni sheda sana kupambana na bondia anayetumia mkono wa kushoto! Muone PaqMan, Zabb Yuda, na Ortiz mwenyewe. Mara nyingi usimamaji wao ulingoni unawapa tabu wapinzani wao.
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom