NDONDI: Deontay WILDER vs Luis ORTIZ kumaliza ubishi kesho..

Duh. Huyu Wilder simwelewagi lakini naona tu watu wanakalishwa sielewi inakuwaje yan
Zamani hata mim nilikua simuelew Wilder, ikabid niingie Youtube kutazama highlights za mapambano yake, Wilder ni one punch kok, ile ngumi yake ya kulia itakuja kuua mtu stage
 
Mabondia wa heavy weight kwa sasa ni aibu tupu, namiss sana ile crop ya akina Lennox Lewis, Klitcho, Evander, Kassim Rahman etc.
pambano la lennoy lewis na evander lilikuwa hovyo tu zaidi ya kukumbatiana muda wote, Rahman nae alimbahatisha tyson lakin alikuwa hana lolote, hawa akina wilder, furry, joshua wamerudisha ladha ya boxing
 
Imenibidi Leo nikugongee Like! Umesema kweli
pambano la lennoy lewis na evander lilikuwa hovyo tu zaidi ya kukumbatiana muda wote, Rahman nae alimbahatisha tyson lakin alikuwa hana lolote, hawa akina wilder, furry, joshua wamerudisha ladha ya boxing
 
Wilder muda wote anapigwa amedokolewa ngumu nyingi laki round ya 7 hiyo ngumu utadhani alikuwa ameweka mkono kwenye chaji
 
pambano la lennoy lewis na evander lilikuwa hovyo tu zaidi ya kukumbatiana muda wote, Rahman nae alimbahatisha tyson lakin alikuwa hana lolote, hawa akina wilder, furry, joshua wamerudisha ladha ya boxing
Utakua umeanza kuangalia vitasa juzi ww.unasemaje?Wilder ni bondia mzuri lakini angekua kizazi Cha Mike iron Tyson asingewika.anawika sababu hakuna mabondia.
 
Lewis hata ukimrudisha leo hasumbuliwi na hawa uliotawataja hapa, maumbo ya akina Ortis walikuwa wanacheza mieleka kama akina Umaga, Tyson Furry sio bondia kakuta tu hakuna bondia anayeeleweka. Joshua ana sifa za kuwa heavy weight ila pumzi hana.
 
Kawaida yenu nyinyi kusifia vya kale wala haishangazi hata kwenye mpira bado watu hawataki kuukubali uwezo wa Christian Ronaldo na Messi kisa wachezaji wa zamani kama Maradona ,De Lima,Pele nk.
 
Sisi wakale tuliowashuhudia hata hao wachezaji wa mpira wakale na wasasa ata masumbi wakale na sasa bado wakale wako juu
 
Lewis hata ukimrudisha leo hasumbuliwi na hawa uliotawataja hapa, maumbo ya akina Ortis walikuwa wanacheza mieleka kama akina Umaga, Tyson Furry sio bondia kakuta tu hakuna bondia anayeeleweka. Joshua ana sifa za kuwa heavy weight ila pumzi hana.
umbo la ortis na evander kuna tofauti gani? hata mike tyson alidundwa na douglas "buster" kwa KO, Tyson alikuwa anakutana na mabondia wabovu, hukumbuki tyson alivyomng'ata sikio evander? wilder yuko vizur hao akina lewis, evander wangekaa kwa wildr, tuwape heshima yao akina furry, joshua, wilder, hakuna bondia ambae hakuwahi kupigwa hata mohamed ali alishachezea vipigo sana
 
Utakua umeanza kuangalia vitasa juzi ww.unasemaje?Wilder ni bondia mzuri lakini angekua kizazi Cha Mike iron Tyson asingewika.anawika sababu hakuna mabondia.
tyson huyu aliedundwa na yule muhuni hashim rahman, aliedundwa na douglas buster, aliemng'ata sikio evander holfield baada ya kuzidiwa, tyson hakuwa na pumzi za kumaliza raundi zote 12, alikuwa ikifika raundi ya 6 anachoka kama nguruwe
 
Da! Really?? Hembu angalia mapambano ya Tyson tena vizuri.
Nikupe tu moja ya sifa kubwa ya Tyson ilikua ni skills na flexibility. Tofauti na heavyweight wengine. Jamaa hakua na habari za kuvunga vunga kizembe kama hili pambano la leo.
Ukumbuke pia katika tasnia ya michezo skills zina fade with age.

Swala la kuchoka inategemea unapigana vipi, kwa mtu anayefata na kurusha makonde muda wote hawezi acha kuchoka.
Kama umeangalia pambano la leo Wilder alikua ana buy time ili Ortiz achoke kwasababu alikua ana attack tu. Ukiwa una attack muda wote inabidi uhakikishe unamaliza mapema, lasivyo utapigwa.
tyson huyu aliedundwa na yule muhuni hashim rahman, aliedundwa na douglas buster, aliemng'ata sikio evander holfield baada ya kuzidiwa, tyson hakuwa na pumzi za kumaliza raundi zote 12, alikuwa ikifika raundi ya 6 anachoka kama nguruwe
 
Da! Really?? Hembu angalia mapambano ya Tyson tena vizuri.
Nikupe tu moja ya sifa kubwa ya Tyson ilikua ni skills na flexibility. Tofauti na heavyweight wengine. Jamaa hakua na habari za kuvunga vunga kizembe kama hili pambano la leo.
Ukumbuke pia katika tasnia ya michezo skills zina fade with age.
sawa tyson alikuwa na skills, lakini nae alikuwa anazidiwa ndio maana akapigwa, alipigwa na douglas akiwa under 30 yrs, boxing imekuwa ngumu ndio maana ni ngumu kuwa bingwa wa dunia na miaka 20 kama tyson, leo hii mabingwa wote wako above 28 yrs, skill na technic ziko juu, hakuna bondia mzembe
 
Sisi wakale tuliowashuhudia hata hao wachezaji wa mpira wakale na wasasa ata masumbi wakale na sasa bado wakale wako juu
Nimeanza kufuatilia masumbwi tangu enzi za akina Rocky Marciano ila bado nina amini tukizungumzua heavyweights bora kabisa huwezi kukosa kumtaja Deontay Wilder.
 
Mpaka sasa sijaona heavyweight anayefanya alichokua anafanya Tyson.
Tyson wa kawaida mno, skills sawa alikuwa nazo ila alikuwa hana pumzi pia hawezi kuvimilia makonde , yeye alikuwa anategemea raundi za mwanzo mwanzo tu, round zikifika sita , saba huko analegea.
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom