Nafikiri amemaanisha na baba, picha ya watoto kutoka na mama ni kuwa monitored kila dakika, mtoto hana nafasi ya kucheza wala kuruka ila wakitoka na baba full funny, michezo and a lot of exitement. IVO
Angalia yule baba wa uganda alivyomfuatilia mtoto wake hadi akapata ukweli.
.............. Inaweza kuwa kweli, japo hapo kwenye picha haijakaa vizuri...........
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.