Ndomana watoto wanapenda kutoka na baba

utafiti

JF-Expert Member
Jul 18, 2013
12,783
7,657
1416911988659.jpg
 
utafiti wanapenda kutoka na baba au na mama aise maana hapo naona ni kinyume cha ulichosema
 
Last edited by a moderator:
Nafikiri amemaanisha na baba, picha ya watoto kutoka na mama ni kuwa monitored kila dakika, mtoto hana nafasi ya kucheza wala kuruka ila wakitoka na baba full funny, michezo and a lot of exitement. IVO

utafiti wanapenda kutoka na baba au na mama aise maana hapo naona ni kinyume cha ulichosema
 
Last edited by a moderator:
Angalia yule baba wa uganda alivyomfuatilia mtoto wake hadi akapata ukweli.
.............. Inaweza kuwa kweli, japo hapo kwenye picha haijakaa vizuri...........
 
Back
Top Bottom