Ndoa zina mambo - Chatmate needed

Ashangedere

Senior Member
Aug 9, 2010
119
31
Tumpe msaada huyu:

A very stressed woman, Ameolewa ana 2 kids bado wadogo, anampenda mumewe lakini sikuhizi mwanaume kama anamashetani amekuwa na mwanamke ambaye hata yeye hamjui ila anaona mawasiliano kwa simu, nyumba haina mapenzi kabisa, hapo mwanzo mapenzi yalikuwa motomoto, kashitaki kanisani kwa ndugu mpaka kwa washenga lakini mwenzake hamuelewi mtu yeyote. Ana marafiki wanawake wengi hawaamini kuwaambia mengi ya ndoa yake,hataki tena kumwambia mtu matatizo yake. hana marafiki wa kiume, HATAKI KUCHEAT wala kumuacha mumewe lakini anahisi akiwa anachat na mwanaume ambaye hamjui na (hataki kumjua) na amueleze matatizo yake awe anamshauri may be kila mara akichanganyikiwa atapunguza sana stress. so anatafuta secret chat mate mwanaume preferably aliyeoa chat kwa mail tu no phone no kuonana. mail: nimechoka_sana@yahoo.com
 
okaaaaaaaaaaaaaaay,kama ni hivyo asubiri wanachama wa infiiiii watarescue asap
 
:nono:hehehehehe kweli ndoa zina mambo hapoa naona dalili za infidelity zinaanza ..Bi dada ukishaanza mawasiliano na huyo mwanaume atakupa lugha ya mahaba na kwa vilea najua una matatizo na mmeo ..mama utajikuta unamuomba mje mle tundi ..thatha basi vunja ukimya na mmeo muondoe tofauti..:nono:
 
FL1 hebu kaa pembeni kidogo....naona unaniharibia taimingi..
 
Na kwa kumpa maneno ya mahaba atakompaset nafasi ya mumewe tayari infidelity,maskini anasahau kuwa no miss/mr perfect.Muhimu tu aongee na mwenzie waelezane tofauti zao.
 
Mkuu, umenichekesha ajabu!
Kuna mtu hapa ndani alibandika bandiko la "jinsi ya kufanya nanihiino kwa distant lovers",na alihakikisha kuwa ina power kama ile ya zero distance, na wote mnafikishana kwa 'Pilato' vizuuuri, kila mtu akigugumia!
Nadhani huyu mama anataka kitu cha jinsi hiyo...naisaka thread hiyo niwawekee!
 
heheheeeeeee first lady kama ulikuwepo na mimi nimemwambia exactly the same thing kaja kuniomba afanyaje ampate huyo wa kuwasiliana naye nikamwambia dont do it akaanza ooooohh unajuaaa nikamwambia OOOkkkkkkeeeeeyyyy ngoja niweke JF sasa nadhani zangu za JF akichanganya na za kwake atapata jibu sahihi then akiamua kuchakachua atajipanga. thanks
 
Huyu mie naweza mfaa sana maana nami ninatatizo kama hilo kwa mke wangu !
 
heheheeeeeee first lady kama ulikuwepo na mimi nimemwambia exactly the same thing kaja kuniomba afanyaje ampate huyo wa kuwasiliana naye nikamwambia dont do it akaanza ooooohh unajuaaa nikamwambia OOOkkkkkkeeeeeyyyy ngoja niweke JF sasa nadhani zangu za JF akichanganya na za kwake atapata jibu sahihi then akiamua kuchakachua atajipanga. thanks

Ngoja na yeye ajipatie small house
 
Mnhh..mbona mail delivery failed...hebu check vizuri hiyo mail address ulotuwekea maana mail haziendi.....
 
roy unataka kufanyaje?????
ole wako nakwambia
jaribu uone km sjaku.k.e.k.e.t.............mayra ya pili!
tatizo la uku aujalimaliza unataka kwenda wap tena????ebu rud uko haraka saaaaaana kaz iyo mwachie FINEST AU GENERATION Y!!!!
 
Dah....biznez plani yangu yoote umeichakachua....:sad::sad:
 
Na kwa kumpa maneno ya mahaba atakompaset nafasi ya mumewe tayari infidelity,maskini anasahau kuwa no miss/mr perfect.Muhimu tu aongee na mwenzie waelezane tofauti zao.

Kwa vile mwenyewe amechagua lazima awe mwanaume basi waswahili wanasema mwana kilanga haliliwi wala halaliwi matanga. Atakayoyapata huko ngojea tusubiri. Tutakuja kusikia mshauri kageuka kuwa ndio mume.
 
:nono:hehehehehe kweli ndoa zina mambo hapoa naona dalili za infidelity zinaanza ..Bi dada ukishaanza mawasiliano na huyo mwanaume atakupa lugha ya mahaba na kwa vilea najua una matatizo na mmeo ..mama utajikuta unamuomba mje mle tundi ..thatha basi vunja ukimya na mmeo muondoe tofauti..:nono:

Anachotafuta ndiyo hicho, hakuna kingine. Hayo ya eti kuchati tu, no phone calls, no whatever ni mashauzi tu! Nimemtumia email, nasubir majibu!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom