Ndoa zina mambo - Chatmate needed

Tumpe msaada huyu:

A very stressed woman, Ameolewa ana 2 kids bado wadogo, anampenda mumewe lakini sikuhizi mwanaume kama anamashetani amekuwa na mwanamke ambaye hata yeye hamjui ila anaona mawasiliano kwa simu, nyumba haina mapenzi kabisa, hapo mwanzo mapenzi yalikuwa motomoto, kashitaki kanisani kwa ndugu mpaka kwa washenga lakini mwenzake hamuelewi mtu yeyote. Ana marafiki wanawake wengi hawaamini kuwaambia mengi ya ndoa yake,hataki tena kumwambia mtu matatizo yake. hana marafiki wa kiume, HATAKI KUCHEAT wala kumuacha mumewe lakini anahisi akiwa anachat na mwanaume ambaye hamjui na (hataki kumjua) na amueleze matatizo yake awe anamshauri may be kila mara akichanganyikiwa atapunguza sana stress. so anatafuta secret chat mate mwanaume preferably aliyeoa chat kwa mail tu no phone no kuonana. mail: nimechoka_sana@yahoo.com[/
QUOTE]

Mi nadhani bibie hiyo haiwezi kuwa solution. Utafanya secret communication with mume wa mtu na mnaweza kuend up kuwa na relationship kama atakufariji sana. Au nawe unataka umwumize mke wa huyo jamaa kama wewe unavyoumizwa? I don't think it is fair kwakweli, cha muhimu kaa na mumeo uangalie jinsi gani ya kutengeneza. Ie. usitafute sana kumbadili yeye but jiangalie wewe je are you what he was looking forward to have. Nadhani nawe ukibadilika yeye naye atakufuata that kwenda kutafuta mbadala
 
Mwambie anitwangie nitampa dauuuuuuuuwaaaaaaaaaaa! ngoja ni ku PM namba yangu
 
Though marriage is unavoidable responsibility, I would not have married had I known its unforeseen consequences. Marriage can drive u insane and crazy. I am sorry I can't advise you anything on this subject as I don't see no other way besides calling it quit.






Hakuna Marefu Yasiyokuwa na Ncha
 
Azima miwani hapo jirani...

RR huyu mwanamama ameshakujibu email yako ...napata picha kwa vile anataka mtu wa kumliwaza vimessage vyenu vitakuwa
sweetheart umekula
Honey unafanya nini..baba girl namiss text zako ..
Dear ushatoka kazini ? leo umepika nini mamy natamani ningekuwa hapo na wewe mtoto mzuri :A S-baby:
dear natamani unibembeleze ..hivi mkishaendelea hivyo mwisho wake nini RR?
 
RR huyu mwanamama ameshakujibu PM yako ...napata picha kwa vile anataka mtu wa kumliwaza vimessage vyenu vitakuwa
sweetheart umekula
Honey unafanya nini..baba girl namiss text zako ..
Dear ushatoka kazini ? leo umepika nini mamy natamani ningekuwa hapo na wewe mtoto mzuri :A S-baby:
dear natamani unibembeleze ..hivi mkishaendelea hivyo mwisho wake nini RR?

Safari moja huanza safari nyingine :smile:......am out!
 
heheheeeeeee first lady kama ulikuwepo na mimi nimemwambia exactly the same thing kaja kuniomba afanyaje ampate huyo wa kuwasiliana naye nikamwambia dont do it akaanza ooooohh unajuaaa nikamwambia OOOkkkkkkeeeeeyyyy ngoja niweke JF sasa nadhani zangu za JF akichanganya na za kwake atapata jibu sahihi then akiamua kuchakachua atajipanga. thanks

Mwambie ajichagulie tu huku JF, amPM mtu...
 
roy unataka kufanyaje?????
ole wako nakwambia
jaribu uone km sjaku.k.e.k.e.t.............mayra ya pili!
tatizo la uku aujalimaliza unataka kwenda wap tena????ebu rud uko haraka saaaaaana kaz iyo mwachie FINEST AU GENERATION Y!!!!

kizuli kula na mwenzio.
 
RR huyu mwanamama ameshakujibu email yako ...napata picha kwa vile anataka mtu wa kumliwaza vimessage vyenu vitakuwa
sweetheart umekula
Honey unafanya nini..baba girl namiss text zako ..
Dear ushatoka kazini ? leo umepika nini mamy natamani ningekuwa hapo na wewe mtoto mzuri :A S-baby:
dear natamani unibembeleze ..hivi mkishaendelea hivyo mwisho wake nini RR?
:smile-big: kama vile nakuona hapo FL1.. unako kauzoefu flani naona au??:smile-big:
 
Tumpe msaada huyu:

A very stressed woman, Ameolewa ana 2 kids bado wadogo, anampenda mumewe lakini sikuhizi mwanaume kama anamashetani amekuwa na mwanamke ambaye hata yeye hamjui ila anaona mawasiliano kwa simu, nyumba haina mapenzi kabisa, hapo mwanzo mapenzi yalikuwa motomoto, kashitaki kanisani kwa ndugu mpaka kwa washenga lakini mwenzake hamuelewi mtu yeyote. Ana marafiki wanawake wengi hawaamini kuwaambia mengi ya ndoa yake,hataki tena kumwambia mtu matatizo yake. hana marafiki wa kiume, HATAKI KUCHEAT wala kumuacha mumewe lakini anahisi akiwa anachat na mwanaume ambaye hamjui na (hataki kumjua) na amueleze matatizo yake awe anamshauri may be kila mara akichanganyikiwa atapunguza sana stress. so anatafuta secret chat mate mwanaume preferably aliyeoa chat kwa mail tu no phone no kuonana. mail: nimechoka_sana@yahoo.com

mkeshahoi@jamiiforums.com....meseji zooote zitapata majibu!!
 
Back
Top Bottom