Ndoa zetu na umiliki wa mali...kizungumkuti kingine!!

AD,

Hebu fafanua kidogo hapo kwenye red. Lugha imegoma!

Daahhh samahani
Niliiandika kwa SWANGLISH lol
nway Prenuption agreement

Hii mara nyingi inatumika kwa watu
ambao wamakaribia kufunga pingu za maisha
wenye wanafunga ndoa lakini kila mtu anabaki
na asset s zake..
 
Niliwahi kuona jirani yetu mmoja alipofariki tu yaani muda huo huo bila kulia wala huzununi yoyote watoto wakaanza kukimbilia chumbani kwake na mwenye funguo akazificha ikawa badala ya kuomboleza ni ugomvi wa mali yaani hadi aibu mzee alikuwa na magari ya kutosha yanafanya biashara mbalimbali na nyumba kadha wa kadha, ilisikitisha sana na hakuna aliyetegemea kwa kweli, hao aslili yao ni Waarabu koko probably angeandika wosia ingesaidia
Aine unaona kwenye case kama hii laiti kama mzee wa watu angeandika wosia mapema hayo yote yasingetokea.
 
Daahhh samahani
Niliiandika kwa SWANGLISH lol
nway Prenuption agreement

Hii mara nyingi inatumika kwa watu
ambao wamakaribia kufunga pingu za maisha
wenye wanafunga ndoa lakini kila mtu anabaki
na asset s zake..
Ngoja nihairishe kukurithisha ile hoteli kule Hawaii nimwambie lawyer abadilishe papers lol
 
hii issue ni sensitive kwa kweli.na sio wanaume pekee wanafanya mambo kwa siri,na wamama nasi tumo.unakuta mwanaume hataki kufanya maendeleo anafanya fashion show tu za mjini.ndoa yenyewe haisomeki kama ipo ama la.mmekutana kila mtu ana dreams zake,mmama anajiamulia kufanya vitu vyake kwa siri ili asikwamishwe.nimeshuhudia mmama kila akipata fedha anasema anataka kufanya kitu,mwanaume ataleta hata ndugu mgonjwa wa mbaali wamsaidie!in the end,hata sijui kwa kweli!ngoja kwanza...
 
Mzee DC shikamoo
kwanza samahani kwa usumbufu mwingi
na pili nashukuru sana kwa nimejifunza mawili
matatu kuhusu ndoa kwenye ile thread..

Nway hapa nichotaka
kusemawatu wengi wenye mali nyingi
huwa wanachukua prenatu agreement..
hii huwa inasaidia kwa chochote kitakachotokea kwenye ndoa..

hivi hapo kwenye red.. panahusika nchi hii?
 
hii issue ni sensitive kwa kweli.na sio wanaume pekee wanafanya mambo kwa siri,na wamama nasi tumo.unakuta mwanaume hataki kufanya maendeleo anafanya fashion show tu za mjini.ndoa yenyewe haisomeki kama ipo ama la.mmekutana kila mtu ana dreams zake,mmama anajiamulia kufanya vitu vyake kwa siri ili asikwamishwe.nimeshuhudia mmama kila akipata fedha anasema anataka kufanya kitu,mwanaume ataleta hata ndugu mgonjwa wa mbaali wamsaidie!in the end,hata sijui kwa kweli!ngoja kwanza...

Ni kweli kabisa hayo mambo yanatokea sana. Miongoni mwa watu wanaofika kwenye ofisi zetu kuomba ushauri wanaeleza matatizo ya namna hiyo. Hivi hatuwezi kabisa kuongea na kuweka mambo mezani na hasa hasa wale tuliopitia vyumba vya madarasa hata kama ni shule za kata?

Na je tuna mikataba na wanandoa wenzetu...aidhuru verbal kwamba tunataka nini katika ndoa? Au tumeacha mambo yajiendee hivyo hivyo tu kama Mvua!
 
hivi hapo kwenye red.. panahusika nchi hii?

Samora hiyo red kwa nchi hii sijui sheria zinasemaje ila kuna mwanasheria mmoja nitamuuliza

Wakuu sheria iko wazi. Mnaweza kuandikisha vitu ambavyo mmechuma kabla ya ndoa na kula kiapo kuwa havitajumuishwa kwenye mali za ndoa. Pia mnaweza kuandika hata baadhi ya vitu mlivyochuma kwenye ndoa endapo mtakubaliana kuwa hamtaki vijumuishwe kwenye mali za ndoa.

Hata hivyo hayo hayazuii kurithishana hizo mali pale mnapoandika wosia.

Kama kuna wanasheria wanaweza kutuwekea vifungu vyenyewe vya sheria ya ndoa na kusahihisha kama nimekosa (fani za watu hizo)!!
 
DC kweli uzee dawa nashukuru kwa maelezo mazuri natumaini kujifunza mengi
 
hii issue ni sensitive kwa kweli.na sio wanaume pekee wanafanya mambo kwa siri,na wamama nasi tumo.unakuta mwanaume hataki kufanya maendeleo anafanya fashion show tu za mjini.ndoa yenyewe haisomeki kama ipo ama la.mmekutana kila mtu ana dreams zake,mmama anajiamulia kufanya vitu vyake kwa siri ili asikwamishwe.nimeshuhudia mmama kila akipata fedha anasema anataka kufanya kitu,mwanaume ataleta hata ndugu mgonjwa wa mbaali wamsaidie!in the end,hata sijui kwa kweli!ngoja kwanza...

hahaha vululu vululu kabisa...
 
asante DARK CITY,
KWA Thread yenye mshiko kwa jamii nzima,
Kuandika wosia ni jambo jema sana na naamini siyo kwa wanandoa tu,japo huko ndiyo kwenye migogoro mikubwa mingi,
mi naona wosia ni jambo jema kutekelezwa na kila mtu mwenye mali yake ili kuepusha,
migogoro ya mrithi nani pindi atakapokufa,

Pamoja na umuhimu huo ila pia mimi naomba Gharama za kuandaa na kutunza huo wosia,
ZIPUNGUZWE ILI KILA MTU AWEZE KUMUDU GHARAMA ZAKE,
Mfano pale RITA gharama za wosia na utunzaji wake zipo juu sana,
na nadhani zimeongezeka ksb mwaka huu sijajua wanacharge kiasi gani,
mi nina wosia wangu pale RITA ila nina kajideni ka mwaka huu na mwaka jana sijalipia,
Kwa hiyo kwa mfano nikifa leo basi wafuatiliaji wangu watalazimika kulipia kwanza,
kabla ya kukabidhiwa wosia wangu.
SIJUI KAMA NA HUKO KWINGINE KUNA GHARAMA KUBWA ZA KUANDAA WOSIA PAMOJA NA UTUNZAJI WAKE.

KUANDAA WOSIA WALA SIYO UCHURO KAMA BAADHI YA WATU WANAVYODHANI,
NA HAIJALISHI UNA MALI KIASI GANI,
HATA UKIWA NA GAUNI MOJA AU SURUALI MOJA NI BORA KUANDIKA NANI ANAWAJIBIKA ,
KUCHUKUA AU KUTUNZA PINDI UTAKAPOKUFA,AU PIA UNATAKA UZIKWE VIPI NA WAPI ,
ILI KUEPUSHA MATATIZO BAADA YA KIFO CHAKO.
 
AD,

Hebu fafanua kidogo hapo kwenye red. Lugha imegoma!
i think she meant to say "makubaliano kabla ya ndoa" where mali, urithi na vitu vinavyofanana na hayo vinakua vimeainishwa na mara nyingi rich man au woman anabaki na mali alizochuma kabla au hata during the marriage time
 
hivi ni baba ndio anatakiwa aandike wosia?

HAPANA, NI WOTE BABA NA MAMA, MUME NA MKE, na hata SINGLE'S pia.
KWA WANANDOA NI VIZURI ,
MUME NA MKE KILA MMOJA AU KWA PAMOJA WAANDIKE WOSIA WAO,

PIA HATA INAPOTOKEA MABADILIKO KATIKA WOSIA WAO WA PILI,
UFANYIKE KWA UWAZI PASIPO KIFICHO.
 
Back
Top Bottom