Naungana na baadhi ya wachangiaji ktk hii Mada Adhimu.
ushauri wangu ni kuwa kama huna uwezo wa kuoa basi kaa Pembeni...
Lkn kwa BOOM la chuo unaweza kuoa ukijipanga vizuri hasa mwaka 2 au 3 kama umeanza kuchanga mapema na kuacha Starehe usizo na uwezo nazo.
ushamba unawaharibu vijana wengi kutaka kuiga mambo ya Mjini.
Vyuoni wapo academic advisers/Dean of students ambao moja ya kazi zao ni kuwashauri wanafunzi mambo kama hayo. na believe hata kama umedisco, Ma Deans wamekuwa wakiwasaidia wanafunzi juu ya mambo Haya...wengi nimeona wakipewa fursa ya kurudia masomo hata mwaka kutokana na mambo kama Haya.
bahati Mbaya the so called Academic Advisors hata Muda HAWANA!!!