Ndoa za siku hizi zina matatizo gani?

Naam nikweli ....ila tatizo now days limezidi kuwa kubwa zaidi kwa sababu hata wale ambao wameishi katika maisha ya kawaida/kimasikini huwa wana fake na kujifanya ma-slay queen mpaka ndani ya ndoa

Sent using Jamii Forums mobile app
hao ni kwamba wamechoka maisha ya taabu na kufikiria kuwa kama mama zao wangeolewa na wanaume wenye hela basi wasingepitia shida.
 
Hapo kwa stamina nakuomba umtoe...Wimbo wa Stamina Ni story Kama story zingine na hajaachana na mkewe wako pamoja mpaka muda huu tunavyoongea hapa...


Sema ametumia fasihi vizuri na kujivisha uhusika ili asombe mashabiki kibao ... Subiri interview Yake akizungumzia huo wimbo

Sent using Jamii Forums mobile app
Stamina kaachana bwana usitudanganye
 
Back
Top Bottom