Ndoa za hivi zipo kweli kwa ujuwaji wetu wa leo?

Kwani wewe mafanikio unayadefine vipi?
Mafanikio kila mtu anayachukulia kwa jinsi yeye alivyoamua kuyachukulia. Kuna wengine mafanikio ni kuoa,Kuweza kula na kulala,kumiliki magari nk..
 
Hayo ni mafanikio kwenye mapenzi ya wanandoa/wapenzi.


Kingineko hasa kwenye dhana ya umiliki mimi namiliki baiskeli yangu ya 260,000/- najikuta nina Amani kuliko mtu yeyote yule duniani.
 
Back
Top Bottom