Ndoa yangu ina mwezi wa 9 sasa lakini imekuwa ya kutoelewana

Unasubiria tena mtoto azaliwe, yaani mapenzi ya mama yote anayahamishia kwa mtoto yaani hadi inafika mahali unajiona kama vile umesahaulika....

Hiyo mimba ndiyo inayo mpelekesha, kidume inabidi uwe mpole
 
WANAJAMVI HABARI ZA MDA HUU.!
NAOMBA MNIPE USHAURI WENI MAKE NIMECHOKA KUVUMILIA
nimeoa ndoa yangu ina mwezi wa 9 sasa lakini ndoa yangu imekuwa ya kutoelewana. yani mi nacho mwambia mke wang mfano kosa fulani limetokea kwake sasa ile nataka kumwelekeza nakwambia hapo ndo ugomvi unaanzia afu ni mama kijacho wangu afu nampenda je! ni do what me now? means nimechoka sasa naombeni ushauri wenu wana jamvi
USHAURI WENU JAMAN!
HASANTE
Akijifungua yatakwisha hayo.
 
Nilichogundua tu hapana no kwamba Mungu amewajalia mpate mtoto katika kipindi Cha mwanzo Cha ndoa yenu. Mshukuru Mungu kwa hilo
 
MPE TALAKA TU,hakuna namna.

Hivi wewe kabla yakuoa hukupata walau dodoso kwamba hawa viumbe wakiwa na hali hiyo wanakuwa na tabia tofauti?Hukupaswa kutuomba ushauri kwa swala kama hili...VUMILIA NIKAWAIDA,Akijifungua atakuwa mama mzuri tu.
 
Vijana kabla hamjaoa muwe mnakwenda field kwa wakubwa zenu ili mpate kujifunza na kuelewa changamoto na vipindi vya mpito kwa wanawake kama ujauzito ili muweze kuyatatua bila madhara.
 
Tuna eneo letu maalumu kwa ajili ya kupumzika vituko vya wanaume huku duniani

Usisahau ile ahadi ya sheikh Kipozeo, hakuna kupumzika.... unaenda kuungana na wenzio 75 mnakuwa viburudisho.
 
Miezi 9 ni mapema sana kuanza kulalamikiana...

Subirini mpaka angalau mfikishe miaka 15 hivi ya ndoa, ndiyo muanze lawama...

Cc: mahondaw
 
WANAJAMVI HABARI ZA MDA HUU.!

NAOMBA MNIPE USHAURI WENI MAKE NIMECHOKA KUVUMILIA

nimeoa ndoa yangu ina mwezi wa 9 sasa lakini ndoa yangu imekuwa ya kutoelewana. yani mi nacho mwambia mke wang mfano kosa fulani limetokea kwake sasa ile nataka kumwelekeza nakwambia hapo ndo ugomvi unaanzia afu ni mama kijacho wangu afu nampenda je! ni do what me now? means nimechoka sasa naombeni ushauri wenu wana jamvi

USHAURI WENU JAMAN!
HASANTE
Kipindi unaoa uliomba ushauri kuhusu huyo unliyenae kama anakufaa?

Kama hukuomba sio mbaya.

Ili nikupe ushauri ulioshiba ni PM ni kitu gani hasa kinawagombasha.

Mimi ni mshauri wa mahusiano.
 
WANAJAMVI HABARI ZA MDA HUU.!

NAOMBA MNIPE USHAURI WENI MAKE NIMECHOKA KUVUMILIA

nimeoa ndoa yangu ina mwezi wa 9 sasa lakini ndoa yangu imekuwa ya kutoelewana. yani mi nacho mwambia mke wang mfano kosa fulani limetokea kwake sasa ile nataka kumwelekeza nakwambia hapo ndo ugomvi unaanzia afu ni mama kijacho wangu afu nampenda je! ni do what me now? means nimechoka sasa naombeni ushauri wenu wana jamvi

USHAURI WENU JAMAN!
HASANTE
WEWE UNA UMRI GANI NA MKEO ANA UMRI GANI? TUANZIE HAPO KWANZA, MAANA HATA UANDISHI WAKO UNANIPA WASIWASI.
 
Mkuu pole sana!, jambo unalotakiwa ujiulize ni kwamba kabla ya kuwa mjamzito alikua hivo hvo!? Kama sio basi mvumilie kwa kipindi hiki kigumu kwake baada ya kujifungua utaona maisha yanarudi sawa sawia na furaha yamo irudi kama mwanzo..
Kwenye ndoa uvumilivu ndo nguzo..
 
Kiufupi wewe hamnazo, hapa ndo uneona Kuna ushauri was maana? Tatizo hauna hela
 
WANAJAMVI HABARI ZA MDA HUU.!

NAOMBA MNIPE USHAURI WENI MAKE NIMECHOKA KUVUMILIA

nimeoa ndoa yangu ina mwezi wa 9 sasa lakini ndoa yangu imekuwa ya kutoelewana. yani mi nacho mwambia mke wang mfano kosa fulani limetokea kwake sasa ile nataka kumwelekeza nakwambia hapo ndo ugomvi unaanzia afu ni mama kijacho wangu afu nampenda je! ni do what me now? means nimechoka sasa naombeni ushauri wenu wana jamvi

USHAURI WENU JAMAN!
HASANTE
Pengine hali ya ujauzito inachangia. Vumilia ndio hali halisi.
 
Back
Top Bottom