mmh! mama wa watoto 3 bado tu unatangaza mimba??
ina maana anatangaza mimba hadharani? je siku akiumwa uchungu si atatuwekea picha hapa na akizaa basi huyo mtoto atabandikwa kwenye mbao za matangazo?chezeyya mudhungu mweuthi wewe
duuh kumbe wazungu nao wanazaa watoto zaidi ya wa.................................................................................
Mungu akutunzie mwaya mana mimba mana mimba za sikuhizi mmh
I share with my friends hujui labda kuna malaika na mungu Kati ya wana jamii forumina maana anatangaza mimba hadharani? je siku akiumwa uchungu si atatuwekea picha hapa na akizaa basi huyo mtoto atabandikwa kwenye mbao za matangazo?
wanawake mna kazi
mmh! mama wa watoto 3 bado tu unatangaza mimba??
Umepewa na mmeo lakini?
Jamani mungu asifiwe mashallah Nina tegemea mtoto nimefurahi Vipi .I will be a mother of 4 children
Hongera sana mutoto ya fisadi/mutoto ya muzungu!
Sipati picha kitumboo! Vipi kule umeweka pics nikacheck?
Hongera sana Natalia
ila siwezi kuacha kukutania kidogo rafiki, umezaa kama unaishi mbagala rangi tatu!
ngoja niwaite wanafunzi wenzangu na walimu wangu waje kutoa pongezi hapa
mwaJ andaa bembea ya mtoto
Kaizer
mwl snowhite andaa pipi ya mtoto
gfsonwin andaa pads
alaf BADILI TABIA we ndio tuta kutuma New yok ukamuangalie mtoto!