Ndoa ya Regina Daniels , Siri nzito yaibuka, Baba mzazi afunguka.

Baba anamlaani Mama Regina kwa kumuoza binti yake kwa Mzee, yeye kama baba alikuwa wapi kulizuia hilo??
 
Mather kabana mpunga wote wa mahari dingii ajalabwishwa nire,
acha dingiile amsake mchawi
 
Ikiwa ni siku chache zipite, toka kutambulishwa kwa muigizaji kinda kwenye kiwanda cha film nchini Nigeria View attachment 1111343View attachment 1111344View attachment 1111345, Regina Daniels kwa wake wenzie watano, Baba mzazi aibuka na kulaani kitendo cha Mzee nokwo kumuoa binti yake ambaye kiumri ni mdogo kumzidi Billionare Mr Nokwo.


Mzazi anafunguka kuwa Regina Daniels hakuzaliwa Mwaka 2000 kama watu wanavyoamini, Bali alizaliwa October 10 2001 , hivyo mwanae Ana miaka 17 na sio 18 kama wengi wanavyoaminishwa.

Pili Mzee huyo anaendelea kufunguka kuwa Mr Nokwo na yeye , hana miaka 59 kama Anavyosema, Ila ana miaka 62 hivyo ni kaka wa baba wa Regina kiumri, na hata walivyokua wadogo waliwahi kuishi Nyumba moja na kucheza na mzee huyo, hivyo anamjua vilivyo Mr Nokwo.


Pia Mzee amelaani vikali kitendo cha mama Regina kukubali kumuozesha mwanae kwa ajili ya njaa ya Pesa .

Mmh jamani mbona mambo mazito, na nyie wazee muwe mnajitahid kuwapa malezi bora watoto Wenu bana , huyo Regina kama angekua na malezi bora na anapata kila kitu asingethubutu kuolewa na mzee umri kumzid hata baba ake

Khaa bora hata shoga angu lulu atleast majizo wanaendana japokua wamepishana umri kama miaka kumi Ila ukiwaangalia kwa Kweli wanaendana huwez ku spot a huge gap iliyopo, ndio Maisha ya Vijana wa yahoo. Com

Majizo kampita Lulu zaidi ya miaka 20
 
Back
Top Bottom