Acha hizo mkuuAcha ivunjike tuu, ndoa tangu imefungwa hamzalii mume anategemea nini.
Raha ya ndoa ni KUZAA na siyo kwenda kulea mtoto wa mke wako uliomkuta naye. Mdomo koma
Acha ivunjike tuu, ndoa tangu imefungwa hamzalii mume anategemea nini.
Raha ya ndoa ni KUZAA na siyo kwenda kulea mtoto wa mke wako uliomkuta naye. Mdomo koma
Ameyaleta kwenye mtandao ili wambea tujadili mkuu.Acha hizo mkuu
Hili nalo ni tatizo kwenye ndoa nyingi, sema na hawa ma star hawapendi kuzaa japo wanapenda kuolewa,Pengine uzazi shida labda
Nilisikia Shamsa alifilisi biashara za Chidi hadi duka likaisha.
sasa kama wote wapo hivi ina maana huji kuolewa?Ndio wanaume wa sasa walivyo wotee.
Wewe usinichokonoe mwaya ya ngoswe muachie ngoswe .sasa kama wote wapo hivi ina maana huji kuolewa?
pesa za sembe zimeisha ameamua kusepaNdoa ya Muigizaji wa Bongo movies Shamsaford na Chidd Mapenzi imeingia doa, kisa na Mkasa Bado Hakijawekwa Wazi..
Chanzo cha habari Shamsa mwenyewe kama inavyoonekana pichaniView attachment 1099297
Hapa akimjibu shabiki wakeView attachment 1099302
nimekuchokonoa wapi!Wewe usinichokonoe mwaya ya ngoswe muachie ngoswe .