Ndoa ya Msanii Shamsa Ford na Chid Mapenzi yavunjika rasmi

Hili nalo ni tatizo kwenye ndoa nyingi, sema na hawa ma star hawapendi kuzaa japo wanapenda kuolewa,
Angalia shilole, riyama, uwoya, sister fey hawa wote waliolewa kwa ndoa lakini waligoma kuzaa. Siamini kama wote ni uzazi.
Hebu m-tag warumi atuambie kama ndoa ya uwoya ilikuwepo Au Dogo alipoozwa azuge ameoa? Kwa maslahi ya nani na ili iwe nini atusaidie huyo dada.
 
Ni jambo jema sana kufikia maamuzi unyoona n sahihi kwako. Kuishi kinafiki ndio kunakotutesa sana watz
 
Hata angezaa people would still find fault why amezaa.

Am speaking as a woman, huenda anapoingia ndani ya ndoa her intuition spoke to her to chill out na asikimbilie kuzaa. Either that or simply hakushika ujauzito.

Wanasemaga once bitten, twice shy. Picture being single again, stuck with another child.

Acha ivunjike tuu, ndoa tangu imefungwa hamzalii mume anategemea nini.
Raha ya ndoa ni KUZAA na siyo kwenda kulea mtoto wa mke wako uliomkuta naye. Mdomo koma
 
Back
Top Bottom