Ndoa ya miaka 24 yavunjika baada ya mume kutambua watoto watatu sio damu yake

Ninamfahamu jamaa mmoja na apesa zake but kazalishiwa mkewe watoto 2, mzalishaji/baba wa hao watoto ni mfanyakazi wa kawaida kabisa. Mume wa huyo mke ni mfanyabiashara wa madini so si kweli kamba all the time pesa inaamua hatima ya mapenzi yenu.
Mtu anakuwa na pesa zakutosha / kazi nzuri lakini muda wakuwa na mkewe hana au hana tu uwezo wakutungisha, pesa si kila kitu kwenye maswala ya mapenzi au ndoa
 
Chief!! Pamoja na kwamba yawezekana ni mkubwa lakini bado una akili za kivulana, nasema hivyo kwa kuwa tulioowa bikra tukagongewa bado tuliambiwa hatuwagongi vizuri (yaani ili mradi mtu asikose sababu), ukiendelea kukuwa utakuja kujua kuwa ndani ya ndoa kuna mambo mengi tena mchanganyiko (wengine hufa na siri zao) na ndiyo maana hata hao walioolewa bikra wanaachika.

Japo sikufahamu lakini nakuombea kwa MUNGU akuepushe na shari zote na akufanyie wepesi mwisho wako uwe mwema.
Mwambie hata wewe, dunia hii siyakujisifu kabisa
 
Mtu anakuwa na pesa zakutosha / kazi nzuri lakini muda wakuwa na mkewe hana au hana tu uwezo wakutungisha, pesa si kila kitu kwenye maswala ya mapenzi au ndoa
Kwahiyo unakubaliana na mimi kwamba security ya ndoa sio PESA kama niliyemnukuu alivyo sema!?
 
Ndicho kilichonitokeaga Mimi ....Nimelea Mtoto miaka mitatu nikidhani ni damu yangu kumbe holla tu .... Nilituliza akili nikahesabu miez tangu nikutane nae nikakuta ni miezi 8 na Siku 13 .... Hapo ndo nilipokazia kumbe nilikutana nae akiwa na ujauzito tayari .... But nilishasamehe ... Let's life goes on ....

KIUMBE KIITWACHO MWANAMKE KUWA NACHO MAKINI SANA
Ulikuwa lofa tu
 
Kitaalamu kwa mwanamke asiye bikra ili ashike mimba ni lazima ashiriki ngono na mwanaume kwa zaidi ya awamu sita (6) akiwa katika siku zake za hatari......kwahiyo kwa haraka haraka boss kamtomber mke wa jamaa zaidi ya mara kumi na nane (3×6=18) mpaka kumzalisha hao watoto watatu (3) na jamaa yupo yupo tu hana A Wala Be
Acha uongo
 
Mtumiaji mmoja wa mtandao wa Twitter, Julius Mmasi kutoka Kenya ameweka wazi jinsi rafiki yake alivyovunja ndoa yake iliyodumu kwa muda miaka 24 baada tu ya bwana huyo kuamua kwenda kufanya vipimo vya DNA vya watoto wake wanne na matokeo kuonyesha watoto watatu wa mwanzo si wake.

Vipimo hivyo vilibainisha kuwa mtoto mmoja wa kiume ambaye ni wa mwisho peke yake ndiye mtoto halali wa mwanaume huyo na mabinti watatu wakiwa si watoto wake wa damu. Baadaye mke wake alithibitisha hilo akidai mabinti hao ni watoto wa bosi wake.""

Endeleeni kupenda mateso hayaa.

Ila chakuelewa hapo iliyosababisha yotee hapo ni PESA.

Bosi anatoa mawe anapewa papuchi.

TAFUTA HELA KIJANA.

#YNWA

--------------------------------------------------

Ndoa ya miaka 24 yavunjika baada ya mume kutambua watoto 3 si wake.

Japo visa hivi hutokea kwenye filamu pekee, jamaa mmoja ambaye alikumbana na hali hii alithibitisha kuwa mambo haya ni ya kweli.

Kupitia kitandazi cha Twitter, Khasakhala almaarufu Julius Mmasi aliwaacha wanamtandao vinywa wazi baada ya kufichua kuwa rafiki wake wa karibu alilazimika kuvunja ndoa yake ya miaka 24 na mke wake baada ya matokeo ya DNA kubainisha kuwa ni baba halisi wa mtoto mmoja pekee kati ya wanne ambao aliwalea pamoja na mke wake.

Jambo la kuhuzunisha zaidi ni kuwa mke wake alikiri kuwa bosi wake ndiye baba ya watoto watatu wa kwanza

Mwanamume huyo aliamua kufanyia watoto wake wanne uchunguzi wa DNA baada ya kuanza kumshuku mke wake.

Kwa uchungu mkubwa, aligundua kuwa mabinti wake watatu ni watoto wa bosi wa mke wake huku kitinda mimba ambaye ni wa kiume ndiye mtoto wake pekee halisi katika ndoa hiyo.

"Watoto watatu wa kwanza wa kike, wawili walishamaliza tayari kidato cha nne mwingine yuko kidato cha nne. Mke wake alikiri kuwa watoto watatu wa kwanza ni wa bosi wake.

Utamshauri nini mtu kama huyu ?"
Malaya pia huolewa!!!
 
Back
Top Bottom