Ndoa ya miaka 24 yavunjika baada ya mume kutambua watoto watatu sio damu yake

Mkuu unataka kuwabishia watu waliokwamishwa na huu urasimu? Hakuna Nchi yeyote duniani ambayo unahitaji kuwa na mwanasheria ili kuweza kufanya DNA isipokuwa Tanzania na urasimu wake.
Ndio napingana nao hakuna Urasimu wowote ule ofisi ya mkemia mkuu stori tu za kwenye gahawa hizo.

Sheria yetu imetoa jukumu hilo kwa,

1. Mahakama,

2. Mawakili,

3. Ustawi wa jamii,

Huyo anayesema kuna urasimu ni muongo.
 
Ni sheria iliyopitwa na wakati Tanzania kuna sheria? Baba anahitaji tu kujua kama mtoto ni wake au la kwanini abambikiwe gharama nyingine za kumlipa lawyer ambazo Nchi nyingine hakuna?

Kwanini watu walalamike kwamba kwa kuwa Serikali haitaki ndoa zivunjike inaficha ukweli kuhusu matokeo ya DNA?

Sio Kila Jambo lazima lifanane na Kanata Canada,

Tanzania tunataratibu zetu kama nchi nyingine zilivyo na zake.

Itoshe kusema tu kuwa Ofisi ya mkemia mkuu hakuna Urasimu wowote.
 
👍🏽
Mimi ilitokea kwa kaka yetu mtoto wa bamkubwa. Mtoto wake wa nne akiwa form four sijui walikosana nini mtoto akachukia akaropoka akasema baba ake ni mdosi Shirika fulani kubwa na ndio anagharamia miradi yote hapo home 😳 ndugu yetu karibia aanguke ndio akauliza mke akakataa lakini alivyobanwa akasema ukweli. Wako na watoto 6 ila huyo wa 4 sio wake. Ndugu yetu alikuwa hamjali sana mke wake ndio mke akadanganyika huko nje.
Ila leo hii watoto wote wamekuwa wakubwa ila huyu wa nje ndio mwenye hela kuliko wote na ndio amekuwa msaada sana kwa baba ake alimyelea mana ndugu yetu hakumfukuza leo hii hata tukiwa na shughuli za ukooo huyu kijana wa nje ndio mwepesi kuja na kuchangia na anajitoa sana kuliko hatavwale biologichal children. So for us wanafamilia huyu mtoto kwetu amekuwa faraja.
 
Wapi nilipoandika kuhusu Canada wewe?
😳😳😳
Sio Kila Jambo lazima lifanane na Kanata Canada,

Tanzania tunataratibu zetu kama nchi nyingine zilivyo na zake.

Itoshe kusema tu kuwa Ofisi ya mkemia mkuu hakuna Urasimu wowote.
 
Wanawake wazur walioajiliwa asilimia kubwa inakuwa chakula ya boss
Ila ukimkuta jion katoka kazin yuko na kagari kake utafkiri mtu flan mstaarab hvi katokea kufuatilia mirad au kikao flani kumbe katoka kupigwa dushe na boss na kaambiwa usiku urudi...!
 
Nani unamzungumzia katoka nje kwasababu mume kazaa nje? Najaribu tu kukueleza kuwa ingekuwa ni mume ndo katoka nje kazaa watoto wote hao isingekuwa big deal, na mke angeambiwa avumilie awalee watoto.
Na hii muone sawa pia..bado mtaendelea kulea watoto wa wanaume wenzenu hata mkilalamika na kupinga kwa kiasi gani lakini mtachapiwa tu.

Sikia binti, Mwanaume akizaa nje mwanamke hafichwi, anawekwa wazi,huambiwa na kuombwa akubaliane na matokeo. Akikataa anaondoka zake mwenzake atalea hao watoto.

Hakuna mwanaume kamili anayejiweza halafu awe mlalamishi, Mwanaume mwenye akili na uwezo wake hana hofu ya kuchapiwa, mke wake akichapwa huko nje anamwacha, wala halalamiki.

Mwanaume anayejielewa Akibambikiwa watoto mama yao anaachwa ila watoto wanaendelea kupewa huduma zote kama awali.

Thamani ya mwanamke kwa mwanaume ni kujitunza na kutokuwa mzinzi, ukishakuwa mzinifu ukigundulika unaachwa tu maana huna thamani. Ila watoto wako watapewa huduma zote kama uliolewa na mwanaume anayejielewa na kujiweza.
 
Aisee huyo mwanaume hana ndugu wa kike?
Mi mpenzi wangu alipojifungua mtoto wa kwanza wa kiume, sista akasema,

"Huyu mtoto ni wako huruki na wala huna ujanja wa kujitetea kusema sio wako",

Akajifungua mtoto wa pili tena wa kike, sista akamuangalia kwenye masikio pamoja na weupe wa mtoto lakini akasema, "Huyu atakua na rangi ya mama (mama yetu mzazi)"

Na ni kweli sa hv ana mwaka mmoja na miezi nane kila kitu kipo wazi, wa kwanza ni wa kiume ana miaka mitatu na miezi saba, kila kitu nimefanana nae
 
Sikia binti, Mwanaume akizaa nje mwanamke hafichwi, anawekwa wazi,huambiwa na kuombwa akubaliane na matokeo. Akikataa anaondoka zake mwenzake atalea hao watoto.

Hakuna mwanaume kamili anayejiweza halafu awe mlalamishi, Mwanaume mwenye akili na uwezo wake hana hofu ya kuchapiwa, mke wake akichapwa huko nje anamwacha, wala halalamiki.

Mwanaume anayejielewa Akibambikiwa watoto mama yao anaachwa ila watoto wanaendelea kupewa huduma zote kama awali.

Thamani ya mwanamke kwa mwanaume ni kujitunza na kutokuwa mzinzi, ukishakuwa mzinifu ukigundulika unaachwa tu maana huna thamani. Ila watoto wako watapewa huduma zote.
Hii kanuni ya ^madarasa mawili^ (double-standard) inafaa tu kuapply kuleee kwenye Sayari Mars ambako viumbe wake hawana damu wala moyo.
 
Aisee huyo mwanaume hana ndugu wa kike?
Mi mpenzi wangu alipojifungua mtoto wa kwanza wa kiume, sista akasema,

"Huyu mtoto ni wako huruki na wala huna ujanja wa kujitetea kusema sio wako",

Akajifungua mtoto wa pili tena wa kike, sista akamuangalia kwenye masikio pamoja na weupe wa mtoto lakini akasema, "Huyu atakua na rangi ya mama (mama yetu mzazi)"

Na ni kweli sa hv ana mwaka mmoja na miezi nane kila kitu kipo wazi, wa kwanza ni wa kiume ana miaka mitatu na miezi saba, kila kitu nimefanana nae
Nakupongeza sana kwa kutofanya uamuzi wa kwenda kuchukua vipimo vya diienei kwa sababu usikute ungeambiwa mko over 50% incompatible. Vipimo vya DNA vya asili alivyokufanyieni sista yako ni funga-mwaka.
 
Tunaweza kumlaumu saaana huyu mama watoto, but I am poised to believe kwamba kama mazingira yote yangewekwa hadharani, bila shaka everybody, almost including jamaa hawa wawili -- hawa reckless babaz wawili, wangeungana woooote na sisi kuwalaumu jamaa hawahawa wawili. Ukinielewa basi hujalewa!
You must allow your brain's intellectual capacity to control your entire body; hapo utakuwa kiroho safi. Put yourself in the whole situation ama scenario, siyo kujiegemeza sympathetically kwa baba tu, ndipo utaelewa.
Nina wasiwasi na umri wako lakn acha tuayaache kama yalivyo yawezekana unaongea kwa mtazamo Wa movie
 
Nina wasiwasi na umri wako lakn acha tuayaache kama yalivyo yawezekana unaongea kwa mtazamo Wa movie
Kwa hiyo umri wangu ndio umemzuia baba huyu wa malaika wanne asifikie malengo yake!??? Mm nina wasiwasi mkubwa tu na mfumo wako wa upembuaji taarifa, isijekuwa ubongo wako umepata hasara isiyopimika kwa kujiegesha kiwiliwilini pako!???
 
Tatafuta hela..
Sababu ya bosi kunyandua ni HELA.

FIND MONEY..!!

#YNWA
Ninamfahamu jamaa mmoja na apesa zake but kazalishiwa mkewe watoto 2, mzalishaji/baba wa hao watoto ni mfanyakazi wa kawaida kabisa. Mume wa huyo mke ni mfanyabiashara wa madini so si kweli kamba all the time pesa inaamua hatima ya mapenzi yenu.
 
Oa mwanamke bikra hutakuja kunilaumu
Chief!! Pamoja na kwamba yawezekana ni mkubwa lakini bado una akili za kivulana, nasema hivyo kwa kuwa tulioowa bikra tukagongewa bado tuliambiwa hatuwagongi vizuri (yaani ili mradi mtu asikose sababu), ukiendelea kukuwa utakuja kujua kuwa ndani ya ndoa kuna mambo mengi tena mchanganyiko (wengine hufa na siri zao) na ndiyo maana hata hao walioolewa bikra wanaachika.

Japo sikufahamu lakini nakuombea kwa MUNGU akuepushe na shari zote na akufanyie wepesi mwisho wako uwe mwema.
 
Back
Top Bottom