Ndoa ya kisiasa ya CUF na CCM inaweza kutetereka? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndoa ya kisiasa ya CUF na CCM inaweza kutetereka?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mghaka, Aug 31, 2011.

 1. M

  Mghaka JF-Expert Member

  #1
  Aug 31, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 320
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hivi wana JF CCM na CUF igunga watakuwa wanapingana nini?
   
 2. M

  Mthuya JF-Expert Member

  #2
  Aug 31, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 1,415
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Mkuu hao ni wanandoa atii wanatukanana mchana usiku wanakutana chumbani
   
 3. C

  CUF Ngangari JF-Expert Member

  #3
  Aug 31, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 273
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  si mkuki si bunduki cuf hatubanduki.
   
 4. m

  mwinukai JF-Expert Member

  #4
  Aug 31, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 1,448
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  aah mambo ya wanandoa wao wenyewe wanajuana, wanajua program zao vip watamalizana wee acha usiku ufike ni wao tuu wanajua chakufanya.
   
 5. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #5
  Aug 31, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Wala haitetereki maana wao wana agenda moja kupunguza nguvu ya UMMA ili simple majorty ashinde! Ni mkakati wa wanandoa
   
 6. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #6
  Feb 22, 2015
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,542
  Likes Received: 18,172
  Trophy Points: 280
  Wakuu, mwinukai,mashikolomageni na Mthuya, wenyewe hawapendi hili neno!.
  imeelezwa hilo neno ndoa ni tusi kwa wenzetu!. angalia hapa
  Natoa wito tusilitumie tena neno hili neno ndoa ya CCM na CUF!, ni matusi!.

  Pasco
   
Loading...