Ndoa ya kifahari yafungwa jijini-[Richard Mziray & Cynthia Masasi]

Status
Not open for further replies.
Ni mchafue nini sasa tunaongea facts hapa...huko insta kila mtu anapost anavyojisikia....Cynthia wa kuuza samaki. Leo hii??..u dnt knw wat u r talking...n who u r talking too...bora uke kimya...maana hujui unachotetea

Watoto wa Aliko Dangote wanauza kuku na mayai na ndio tajiri namba moja africa im sure hujui fanya kuwa google Bakhresa alianza na lamba lamba tena alikuwa akiuza pekupeku labda na yeye humjui haha hata wewe unaweza anza kuuza karanga wana jf tutakusupport mkuu
 
haya maisha haya!huyu rich mzigo aliokuja nao bongo ulikuwa mrefu saanaaa yaani mjini kila kona ni jina lake utasema dar es salaam nzima mwanaume alikuwa peke yake!.....sasa amebaki "dah!mwanangu ningekujua kitambo tungefanya sana mambo ya maana hapa mjini" kwa kila mbishi akutanaye hiyo ndo kauli mbiu yake.........hii daslaam ina formula ndo maana kuna wabishi tangu aka hizo wanamaintain kibishi japo mzigo hawana kivile ila majina yapo juu!na kuna wabishi wanakuwaga juu wanachoka wanarudisha mpira kwa kipa baada ya siku kadhaa wanarudi tena juu!..hao sasa ndo wenye mji wao!...
 
Asante, umemaliza yote watoto wa mjini huwa hawapigiki mazima na bado wabishi wana uwezo wa kumantain Land cruiser VX likawa barabarani daily pesa ya wese inapatikana na mlio ni lazima uitike.
 
Asante, umemaliza yote watoto wa mjini huwa hawapigiki mazima na bado wabishi wana uwezo wa kumantain Land cruiser VX likawa barabarani daily pesa ya wese inapatikana na mlio ni lazima uitike.

acha tu mwanangu!....ndo maana long time kuna mabaharia walikuwa wanajiita "sea never dry" wengine "tough wallet".....hao wakina sea never dry ndo hao hawapigiki mazima ila hao kina tough wallet ndo hawa wa kina rich mziray type.....!kuna watu wajanja wajanja wanajua wape watumie pesa ili kulinda majina yao na kuna maboya wanadhani kutumia pesa daily ndo kutafanya wabaki juu!..mfano mdogo mzuri ni wa pedejee ndama!mchizi hatumiagi pesa daily na si kama ana mzigo wa kivile anajua location na time ya kutumia pesa ili wajinga wajinga wazidi kumuogopa!alivyokuja fally ipupa ni long time ila kitendo alichokifanya hadi leo kinamlindia ujiko yaani hata mda huu ukiingia kwenye mambo ya wazungu youtube ukisearch fally ipupa in dar utamuona mkali akifanya yake!..ila ukiingia youtube au google ukisearch richard mziray utakutana tu...richard mziray kafulia,richard mziray atamani kurudi USA yaani keshasahaulika kwenye ulimwengu wa bata
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom