Ndoa ya Irene Uwoya na Ndikumana yavunjika!!

Eti alilazimishwa!!!
Watu wengine bana...HOVYO KWELI!!
Kamtumia kaka wa watu sasa anajifanya hakumpenda na ndoa alilazimishiwa...
Kwa maneno ali quote Mzee wa Rula kama ndiyo unaambiwa wewe kwa kweli maumivu yake ni zadi ya kuchanja chale kwenye kidonda kibichi!!!!!
 
Nakubaliana na wewe 100% ndio maana alilazimisha ajifungue kwa kisu kuhofia aibu(kutoa tope wakati wa kupush)

mkuu ni zaid ya 150% wakiwa k ule bagamoyo nilikuwa kampuni moja iliodhamini haya mashindano yao nikafika na kukaa siku tatu
kuna jamaa anaitwa fudenge alikuwa chumba cha pili yule binti akamjia akimdanganya atakuwa katika list ya majaji...jamaa alimpakua kushoto na kulia akuna sehemu alioacha aisee..alipotoka akanifwata akaniambia aisee usione madada wazuri nikamwambia vipi akasema yaani yule demu nilikuwa napakua nyuma kama kontena la maesky linapofunguliwa pwaaaaaaa nkamwambia mjini shule soma ukue
 
yaaani walivyokuwa wakiwtoa mimba na ezekiel aunt sijui hata kama kweli huyo mttoooto katokea tumboni mwake labda aliwapiga watu mchanga wamacho wakaingia king ma dear embu fanyen research kama kweli alizaa
 
Talaka ni jambo la halali lakini linalomchukiza Allah S.W.[/QUOTE]
LKN si amehalalisha (hapo kwenye red), Hao hawakufunga ndoa bali waliishi pamoja kama mume na mke. Ndoa iliyoruhusiwa na KUBARIKIWA NA MUNGU hakuna kuachana to death
 
da mjanja kweli...mkaka wa vile halafu hela hamna mbona shughuli![/QUOTE
shosti timu na hela jamaa atapata huko kwao ila sio kihivyo!demu tu kicheche kachemka mapema,
naona alikua anaona ujiko ile uwoya safarini cyprus
sasa saa hii itakua irene safarini kigali kwa mumewe kachomoa kaona hailipi,mweeeh
namskitikia jamaa manake alikua mbogo sana akiambiwa mkeo wanampakua kinyesi huku bongo
anajibu kwa kubana pua'huyo ni muke yangu hawezi kufanya hivo nyinnyi wabongo mutuwache'
 
da mjanja kweli...mkaka wa vile halafu hela hamna mbona shughuli![/QUOTE
shosti timu na hela jamaa atapata huko kwao ila sio kihivyo!demu tu kicheche kachemka mapema,
naona alikua anaona ujiko ile uwoya safarini cyprus
sasa saa hii itakua irene safarini kigali kwa mumewe kachomoa kaona hailipi,mweeeh
namskitikia jamaa manake alikua mbogo sana akiambiwa mkeo wanampakua kinyesi huku bongo
anajibu kwa kubana pua'huyo ni muke yangu hawezi kufanya hivo nyinnyi wabongo mutuwache'
hahahahahahahaha mie alikuwaga ananiacha hoi ile mbaya akivuja jasho kumtetea mkewe....huku mkewe uzazi anauachia ile mbaya na kale katoto nasikia ni kamwanaubongo wa fleva mmoja,ngoja tuone hili picha aisee!
 
Ushauri wangu ni kheri awe freelance tuu lakini hawezi kazi ya kuwa Mke!
 
Nasikia AY anakung'uta hii kitu...kuna ukweli juu ya hilo?
 
Hawa mastaa wa bongo nao wasitake kuwaiga wakina JLo kwamba unafanya marriage kama sehemu ya kujipandisha chati, sisi bongo hatuna hayo mambo, eti sikuwa nampenda nililazimishwa. Kwa bongo I think hupandi chati bali u tanish your own image!
 
Ni bora angekataa shinikizo toka mwanzo akakataaa kuolewa, kuliko kukubali kwa ajili ya kumfurahisha mama wakati anajua kabisa huo siyo wito wake. Sidhani kama yaya ataumia maana the way anavyojibu inaonyesha hajali. Namsikitikia huyo kaka, na mtoto kwani ataishi na mzazi mmoja hatapata mapenzi ya baba na mama hata kama atapata mahitaji yote, Ameachana leo kesho tunaweza kusikia ana jamaa mwingine na wanafunga ndoa ya Serikali. Poor Krishna
 
Kwani Uwoya sijui Uyowa ana umri gani!! Kama umri wa wake ni wa mateenager basi bado ashki za kiutot hazijatoka maana ndoa nazo ni umri..ila paka alozoea kula jalalani hawezi kula kwenye sahani!!
 
Kabisa mwakalinga, vistaa vya bongo viko short minded sana, mtu anasikilizia movie itoke apige shopping tu! ndio mwisho na ndo mana mwezi mmoja muvi mbili, halafu wanataka wajilinganishe na akina Denzil Washingto, Angelina Jolie kha!
 
Kwa maneno ali quote Mzee wa Rula kama ndiyo unaambiwa wewe kwa kweli maumivu yake ni zadi ya kuchanja chale kwenye kidonda kibichi!!!!!

Kusema ukweli mi mtu akiniambia hivyo wala sitaumua zaidi ya kumuona ni mjinga na asiejitambua.
Karne hii mtu anathubutu kusema alilazimishwa kuolewa???Tena na mtu ambae hata hatokei Tanzania useme wazazi wake walikua karibu nae ndo wakapendekeza aolewe nae???

Ina maana hata kukutana nae alilazimishwa?Maana kama asingempeleka kwao sijui huko kulazimishwa kuolewa na huyo kaka kungetokea wapi!
Awe tu mkweli....alikubali kuolewa ili apate sifa labda na vimshiko vya hapa na pale na sasa anaona ameshafika alipotaka anavunja mkataba FULL STOP
 
Katika yote hili sikuwahi kulijua kuwa demu keshakaa lupango!!!!! Duuuuuuh kumbe hafai hata kwa kulumangia kwa kachumbari.

Alikaa jela ya Lusaka huko, walinaswa boda,jamaa(mcongo) alimtengenezea passport ya Zambia pretending to be a Zambian national,boda wanashangaa mtu ana passport ya zambia then haongei lugha yao. Kulikuwa na mtu anafanya ubalozi wa TZ Zambia siku moja taarifa inaletwa ubalozini kuwa kuna "raia" wenu kafungwa gerezani ndo mtu yule kushtuka baada ya kuona jina (Irene Pancras Uwoya)maana alikuwa anafahamiana na mama yake(Irene) akawasiliana nae wakaanza mchakato kumtoa. Hakumaliza kifungo chote Mkuu. Ni demu wa kushoboka labda akikua ataacha!
 
kwani uwoya sijui uyowa ana umri gani!! Kama umri wa wake ni wa mateenager basi bado ashki za kiutot hazijatoka maana ndoa nazo ni umri..ila paka alozoea kula jalalani hawezi kula kwenye sahani!!

ni mtu mzima tu hakuna teen humo!then anatumika vibaya mno
 
Back
Top Bottom