Ndoa ya Irene Uwoya na Ndikumana yavunjika!!

nani kunguru kati yao???
kitanda usicholala hujui kunguni wake!
mambo ya ndoa huwa ni magumu sana.....sipendi kuyaongelea kama siyajui uzuri
Mama D kunguru hapo yupo wazi, ni dhahiri aliyemuacha mwenzake ni Irene na katoa sababu ya kijinga kabisa kwamba hakumpenda kabla na baada ya ndoa!
Utata uko wapi au unataka ku complicate mambo?
 
Mama D kunguru hapo yupo wazi, ni dhahiri aliyemuacha mwenzake ni Irene na katoa sababu ya kijinga kabisa kwamba hakumpenda kabla na baada ya ndoa!
Utata uko wapi au unataka ku complicate mambo?



sikatai wala sikubali!
 
Huyo demu kicheche tu, baada ya tukio hilo tegemea msururu wa kashfa kibao.
 
Makosa Ndikumana aliyaanza tokea kitambo, maana yeye alimpenda pale alipoiona filamu aliyo act Uwoya ya Oprah. Na bila ya shaka Uwoya alikimbilia fedha tu, sasa ona mkaka wa watu atabaki kuumia milele kutokana na kumependa mtu asiyempenda!
Namshauri aende kwao Burundi akaoe.

Siku zote unaye mpenda yeye hakupendi na usiye mpenda yeye anakupenda
 
Dah! laiti angelijua....................bora angejikalia kimya kama anafikiri ametoa yake ajue kuna watu watatengeneza pesa kupitia yeye muda si mrefu hata akiwa anakojoa tutaona picha kwenye front page za magazeti.
 
Poa kuliko ajitundike loh! Ndoa isiwe kigezo cha kuvuruga future yake. Hivi unaweza kuishi na mtu ambaye humpendi? Inaonyesha ndoa ilifungwa kwa shinikizo la wazazi pia. Je hadi wafikie hatua ya kuwekeana sumu kwenye chakula?
 
Kumbe Ndikumana alikuwa na mke eeh. Kwa hiyo alitema big gee kwa karanga za kuonjeshwa; lol.
Haya sasa; akampigie magoti mkewe aombe msamaha. lol.
 
anaitwa ndi-****-mana jina lenyewe kasheshe du! pumzika kwa amani.
 
Irene anacheza na dunia, kama sababu alizotoa ndizo hizo hakika Mungu atayaona machozi ya Ndikumana na atajibu
 

akawatukane wakina ray na kanumba aliowavulia chupi alafu wakamtafutia bwana..huyu mumewe kama mlishawahi kusoma alivyompata alikutana na kina ray akaanza kumwomba jinsi ya kumuingia haka kabinti...mwisho akahaidiwa hela nyingi sana sana na hata wakina rey usione wana hela wamekuwa makuwadi sana wa wanawake wanafanya nao pcha mbaya wanawavua wao kwanza alafu wanawauza

loh irene wakuwoooooooooooooooowaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom