Ndoa ya Irene Uwoya na Ndikumana yavunjika!!

Wadau habari ndio kama iyo apo..naomba tujifunze kitu..tumuache Irene na ndikumana wake..tuangalie sisi kama sisi tunajifunza nini hapa.........
Uwoya: Hakuna kisa cha moja kwa moja, lakini sikuwahi kuwa na furaha katika maisha yangu ya ndoa na yeye..

Uwoya: Mimi ndiye ninayejua, kwanza sijawahi kumpenda Ndikumana kabla sijafunga naye ndoa na hata baada ya kufunga...lol

Uwoya: ile ndoa kama nililazimishwa lakini sikuwa na mapenzi ya dhati.

Uwoya: Kiukweli nina mtu ambaye nampenda sana, hisia zangu ziko kwake;toka zamani nilikuwa nikimwambia sina mapenzi ya kweli na yeye, kwa hiyo alilijua hilo.

jamani !!au ndo KIm Kadashian anaigwa!! sijapenda kwa kweli
 
Ndoa nyingi za mastar ni maigizo kama movie wanazocheza. Kinachonishangaza wanapenda kucheza ndani ya circle ile ile (kuoana wao kwa wao). Ningewashauri waoe na kuolewa na watu wa low profile kama kweli wanataka ndoa za kudumu. Kuna mifano mingi ya mastaa wa Nigeria na Ghana ambao wake zao ni professionals Ramsy, Omotola a.k.a. Omosexy ambaye kaolewa na pilot more than 15 years a go, Van Vicker mkewe ni HR manager etc na ndoa zao zimedumu kwani spouses wao wanajua maana ya kuwa mke na wana muda na familia zao. Sasa wote muwe watu wa kujirusha kuna ndoa hapo????
 
Huyo Ndikumana ndiye JINGA kwa kuwa anashindwa kutofautisha mdada wa kuwa mke na mdada wa kumpitia and go (fetch,**** and forget)
Makosa Ndikumana aliyaanza tokea kitambo, maana yeye alimpenda pale alipoiona filamu aliyo act Uwoya ya Oprah. Na bila ya shaka Uwoya alikimbilia fedha tu, sasa ona mkaka wa watu atabaki kuumia milele kutokana na kumependa mtu asiyempenda!
Namshauri aende kwao Burundi akaoe.
 
Duh!! alifuata pesa nini........... labda sasa zimeisha!!. wakati mwingine bora kuoa usiku then asubuhi unatoa talaka.
 
Huyu Dada kama kweli amemwacha Jamaa kwa ajili ya Starehe zake za Kijinga basi Kazi za Mungu zitaonekana Mbele yake,labda hamjui Mungu na kumdharau mpaka kuweka Agano yeye na mmewe kwa Mungu.
 
Kunguru hafugiki
Kweli mkuu yule demu ni kunguru, kuna movie mija aliyocheza, akihojiwa behind the scene alipoulizwa ni kitu gani anachokipenda sana alijibu "Hawezi kupitisha siku mbili bila kukung'utwa!!!!!!" Daaaah kwa hapo tu nilimtoa thamani.
 
Ndoa zinaandikwa mbinguni huyo Uwoya asijishauwe bure kama rizki imekwisha basi asijidai kama hakupenda alivyomburura na ngamia akimpeleka kanisani alishikiwa fimbo? asijudai kama kashindwa kumthimbiti mke mwenzie X wa mumewe au mambo ya ujana bado anayata ya kwenda uchi na kwenda club aseme....aseme sababu yakuachwa hakumpenda na huku usiku anamvulia nguo hawachi huyu msichana vituko!
 
Huyu Dada kama kweli amemwacha Jamaa kwa ajili ya Starehe zake za Kijinga basi Kazi za Mungu zitaonekana Mbele yake,labda hamjui Mungu na kumdharau mpaka kuweka Agano yeye na mmewe kwa Mungu.
Upo sahihi, atakuja kutendwa halafu asiamini. Kuna tendency mtu unayempenda wewe kutokukupenda kwa kiwango unachotaka wewe, sasa si kuna mtu anamtia kiburi ngoja siku naye amgeuke aone joto ya jiwe!
 
Ndoa nyingi za mastar ni maigizo kama movie wanazocheza. Kinachonishangaza wanapenda kucheza ndani ya circle ile ile (kuoana wao kwa wao). Ningewashauri waoe na kuolewa na watu wa low profile kama kweli wanataka ndoa za kudumu. Kuna mifano mingi ya mastaa wa Nigeria na Ghana ambao wake zao ni professionals Ramsy, Van Vicker etc na ndoa zao zimedumu kwani spouses wao wanajua maana ya kuwa mke na wana muda na familia zao. Sasa wote muwe watu wa kujirusha kuna ndoa hapo????
Lakini kuna usemi mbuzi hali nje ya urefu wa kamba yake, unausemeaje?
 
Back
Top Bottom