Ndoa ya flora mbasha ni ya mfano

Status
Not open for further replies.

blessings

JF-Expert Member
Jul 9, 2012
6,983
6,237
Katika maisha tuna watu amabao tunawachukulia kama "role Model"kwangu mimi ndoa ya FLORA & EMMANUEL MBASHA ni ya kupigiwa mfano kwa jinsi wanavyopendana na wasivyokuwa na scandal pamoja na kuwa ni mastaa!! Sasa wapo kwenye ndoa zaidi ya miaka 12 lakini sijawahi kusikia scandal yoyote kuhusu wao. Mungu awabariki sana
 
Hapo unasifia kuwa hawapati scandal au unajilaumu kwa uzembe wako wa kutosimamisha masikio kusikiliza scandal? Au umetumwa kupima upepo?

Kuna mmoja wa wanandoa hapo SEGEREA inamngoja kwa hamu...
 
Hiyo couple ya ukwee sana, wanaishi kama mtu na rafiki ake like like them
hayo mengine ya kawaida tu kuku wenyewe hawaongei ila wanagombana....
 
huyu mume wa Flora ni marioo tu hana lolote halafu anapenda sana watoto wadogo kiukweli anamuaibisha mkewe sijui hmarithishi
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom