Katika maisha tuna watu amabao tunawachukulia kama "role Model"kwangu mimi ndoa ya FLORA & EMMANUEL MBASHA ni ya kupigiwa mfano kwa jinsi wanavyopendana na wasivyokuwa na scandal pamoja na kuwa ni mastaa!! Sasa wapo kwenye ndoa zaidi ya miaka 12 lakini sijawahi kusikia scandal yoyote kuhusu wao. Mungu awabariki sana