Ndoa ya Dr. Slaa na Josephine ni ruksa, hakuna pingamizi tena dhidi yao

wengi tuna furaha lakini mahimbo ameumizwa sana na Dk. Slaa. mwibie mtu fedha lakini sio mke
 
wengi tuna furaha lakini mahimbo ameumizwa sana na Dk. Slaa. mwibie mtu fedha lakini sio mke

Na yy Mahimbo akamchukue Rose Kamili, Rose bado analipa sana, akomae kiuanaume, then ngoma droo
 
Bora Dr Slaa apate jiko la halali sijui best man wedding atakuwa nani...
 
wengi tuna furaha lakini mahimbo ameumizwa sana na Dk. Slaa. mwibie mtu fedha lakini sio mke

Mahimbo alishatengana na Josephine miaka 5 iliyopita na tayari anaishi na mwanamke mwingine na wameshazaa, alianza Mahimbo kuishi na mwanamke mwingin tena kwenye nyumba aliyoijenga Josephine!
 
kwa hiyo tunafurahia Rose kamili na watoto wake wawili kuteseka kwa sababu ya penzi la Josephine na Dk. Slaa?

Kwani Jsephine amejuana na Dr. Slaa Mwaka gani ? Rose Kamili anasema walijuana Mwaka 1987. Kama wanateseka, alikuwa wapi siku zote hizo kusema ? Mpaka anapoona watu wanataka kufunga ndoa ? Duh, Tushabikie na Logic basi ndugu zangu. Nadhani pia ni maisha ya watu ( Ni family issues hizo zote, SIYO POLITICAL), tunajaribu kugeuzageuza tu ili tuone kama zinatusaidia kupunguza au kuongeza nguvu za kisiasa. But, Tanzanians today have big eyes and ears.
 
Ile ya kwiba mke wa mtu nayo hakuna pingamizi??????????

hajaiba mke wa mtu, Josephine alishatengana na mahimbo na maimbo tayari alishakuwa na mwanake mwingine na tayari wamesha zaa. So Josephine yuko free kuishi na mwanaume ampendae
 
Kwani Jsephine amejuana na Dr. Slaa Mwaka gani ? Rose Kamili anasema walijuana Mwaka 1987. Kama wanateseka, alikuwa wapi siku zote hizo kusema ? Mpaka anapoona watu wanataka kufunga ndoa ? Duh, Tushabikie na Logic basi ndugu zangu. Nadhani pia ni maisha ya watu ( Ni family issues hizo zote, SIYO POLITICAL), tunajaribu kugeuzageuza tu ili tuone kama zinatusaidia kupunguza au kuongeza nguvu za kisiasa. But, Tanzanians today have big eyes and ears.

Kabisa ndugu yangu tangu Josephine aanze kutambulishwa hadharani huyu mama alikuwa hazungumzi lolote, tena kipindi cha kampeni nae alikuwa akipanda jukwaani kumnadi Dr. Slaa na Josephine akiwa pembeni, leo hii anaibuka na kusema ametelekezwa!!??
 
Back
Top Bottom