Ndoa ya cuf na ccm:njama za kuvuruga upinzani?

Mpelijr

Member
May 17, 2010
89
11
Hivi kwa kuwaza hii pact iliyopo sasa hivi baina ya cuf na ccm ni ya maslahi ya nani?kwa sababu kama ni maslahi ya mtu au kundi la watu na siyo wanachama wa Tanzania inabidi tuseme na tuseme kwa sauti kwani hatutaki kupiga hatua tatu mbele na upinzani halafu tukaja kupiga hatua mbili nyuma....jamani tuwe makini na cuf ni kama wamepoteza dira vile......[/B]
 
Hivi kwa kuwaza hii paacy iliyopo sasa hivi baina ya cuf na ccm ni ya maslahi ya nani?kwa sababu kama ni maslahi ya mtu au kundi la watu na siyo wanachama wa Tanzania inabidi tuseme na tuseme kwa sauti kwani hatutaki kupiga hatua tatu mbele na upinzani halafu tukaja kupiga hatua mbili nyuma....jamani tuwe makini na cuf ni kama wamepoteza dira vile......

Unamaana gani na Paacy?
 
Back
Top Bottom