Ndoa ya CCM na CUF imejaaliwa mtoto, jina lake ni UAMSHO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndoa ya CCM na CUF imejaaliwa mtoto, jina lake ni UAMSHO

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Uda, Oct 18, 2012.

 1. Uda

  Uda JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 730
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Naomba ninukuu sehemu ya maneno kutoka kwa mwandishi (Munir Zakaria) wa Reuters hapa chini:
  Je, wafuasi wa uamsho ni zao la wale waliosalitiwa na CUF?
   
 2. oscaristo

  oscaristo Member

  #2
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hiyo ndoa yao ndio kifo chao wote wawili, mume(CCM) na MKE (CUF)
   
 3. sindano butu

  sindano butu JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2012
  Joined: Aug 20, 2012
  Messages: 478
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 45
  Na hio ndoa waliifungia IKULU na wakifungwa pingu na tendwa!
   
 4. paul milya

  paul milya JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 286
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kwi kwi kwi kwiiii! Faida ya chama tawala wameiona na bado!
   
 5. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #5
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Unajua nimegundua kuwa CUF wako kimya sana zenji na wale vijana wa ngunguri maskani wa CCM wako kimya kabisa nikasema kulikoni??
  Kumbe kweli CCM sio tasa, wamemuoa CUF na wakampa mimba na sasa cuf kazaa mtoto mwenye ndevu nyingi anaitwa UAMSHO anavaa nguo aina ya farida
  Haya ndio matunda ya ndoa za mkeka
   
 6. K

  KGARE Senior Member

  #6
  Oct 26, 2012
  Joined: Jul 31, 2012
  Messages: 102
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nchi yeyote ya kidemocrasia/Kidikteta lazima itakuwa na kikundi cha upinzani tu. Toka CUF waungane na CCM, nchi ikawa pweke ghafla kwa kukosa kambi ya upinzani.

  Yale yale mambo ambayo CUF ilikuwa inapigia kelele kwamba sio sawa ghafla yakawa si kero tena, hahaaa.Maalim Seif ghafla nayeye akawa ni mtu wa stori za "msiwasikilize watu wasiotutakia mema katika nchi yetu!!"...akanipa hisia kwamba sio kwamba wanasiasa wetu wanataka mabadiliko fulani bali wanataka wao pia washike/washee madaraka tu na asali inayoambatana na madaraka, wakipewa nafasi hata na waliokuwa maadui zao awali wanasahau misimamo yao ya awali....sasa UAMSHO, ingawa ni kikundi cha dini kikaibuka kama chama cha kisiasa. Kinakuwa ndio kinasema kinaangalia na kuikosoa serikali....(sijui CHADEMA walishtuka viipi wakakaa pembeni kidogo katika maeneo yake)

  Kwa sasa naona hakuna jinsi ya kukizuia kikundi hiki labda ndoa ya CUF na CCM ivunjike tena!!
   
 7. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #7
  Oct 26, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,137
  Likes Received: 10,495
  Trophy Points: 280
  Hivi hujui CCM ina mke wa pili ADC...?
   
 8. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #8
  Oct 26, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  na huyo mtoto wao UAMSHO karibuni wana ndoa watamtoa kafara
   
 9. J

  JERUSALEMU JF-Expert Member

  #9
  Oct 26, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 2,739
  Likes Received: 1,796
  Trophy Points: 280
  KGARE

  Naomba nitofautiane na wewe kimtazamo. kimsingi maalimu SEIF bado ana ndoto za kuwa RAIS wa Zanzibar siku moja. Baada ya kuingia kwenye serikali ya pamoja,kuna wizara alizitaka kwa udi na uvumba mojawapo ni ya mambo ya ndani,ile ya mambo ya nje na wizara ya fedha, akaipata ya mambo ya ndani na ya nje. Harakahara akakisajili kikundi hiki cha UAMSHO ambacho pamoja na mambo mengine jukumu lake la msingi ni kuvunja muungano ili wajitawale. Nia ni kumpa maalimu nafasi kubwa ya kuja kuwa RAIS wa zanzibar kwani anaamini watu wa bara ndio wanao mzuia yeye kufikia malengo. UAMSHO wana uhakika haita futwa kwasababu mwenye mamlaka ya kuifuta ndiye mwanzilishi wake.

  UAMSHO ni CUF nyingine lakini chini ya mwavuli mpana zaidi kwani imejikita kidini zaidi ili wapate uungwaji mkono na wazanzibar wengi hasa wasio jua ukweli wa mambo. Ukimsikiliza maalimu mwenyewe mara nyingi anapenda kusema kazi mliyonituma nimeimaliza kwa maana ya kuisajili UAMSHO na kuipa uhuru wa kufanya mambo watakavyo bila kuingiliwa na dola kwa kuwa waziri mhusika ni wa kwao yaani CUF. Wanataka waachwe wapumue(??) kuna kikundi cha dini kisichotaka waumini? Hapana.

  Uamsho ni CUF wengine waliokuja kivingine.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Mkuu rombo

  Mkuu rombo JF-Expert Member

  #10
  Oct 26, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  aiseee babaangu huyu mtoto anaweza fanya ndoa ivunjike
   
 11. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #11
  Oct 26, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Kazi aliyopewa SEIF na wajomba zake wa Oman ndo inaonekana sasa
   
 12. kilamfua

  kilamfua Senior Member

  #12
  Oct 26, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 162
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 45
  Halafu mtoto kafanana sana na mama yake (cuf).
   
 13. mangikule

  mangikule JF-Expert Member

  #13
  Oct 26, 2012
  Joined: Jun 11, 2012
  Messages: 3,176
  Likes Received: 1,257
  Trophy Points: 280
  Ninavunjika mbavu kha!! ina maana sasa wameambukizana VVU!! mume atakufa 2015!! na kumwacha mgonjwa akitunzwa na mtoto UAMSHO mwathirika VVU vimempanda kichwani!!
   
 14. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #14
  Oct 26, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Mtoto wa pili Ponda
   
 15. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #15
  Oct 26, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,137
  Likes Received: 10,495
  Trophy Points: 280
  Naukizingatia ARV's ni feki...!Hamna mjadala wote tutawazika..
   
 16. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #16
  Oct 27, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  hahahahaha, hahahaaha, heheheeh mwe! humu kuna vituko sana
   
 17. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #17
  Oct 27, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  yero mukulu hiyo ndoa imezaa haramu
   
 18. W

  Wizzard Wweed Senior Member

  #18
  Oct 27, 2012
  Joined: Oct 19, 2012
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 19. K

  Karibuni masijala JF-Expert Member

  #19
  Oct 27, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 409
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  na mtoto adhirisha mtoto kama wengine wanavyoweza fanya anachoma vitu na kupiga ndugu zake ssm
   
 20. Vijisenti

  Vijisenti JF-Expert Member

  #20
  Oct 27, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 475
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Kama kawaida kanisa liko kazini.
   
Loading...