Exaud J. Makyao
JF-Expert Member
- Nov 30, 2008
- 1,518
- 22
Ni ajabu na kweli.
Ndoa iliyodumu kwa masaa KUMI NA MBILI yaripotiwa Kenya.

Hii yaweza kuwa ndoa iliyovunja rekodi ya ufupi nchini Kenya.
Katika madhabahu ya kanisa la VICTORY eneo la Thika jijini Nairobi, Mr Sammy Ngugi(30), na Miss Lydia Muthoni(28), walibadilishana pete ambazo kila moja ilikuwa imeandikwa jina la mwenzake kuonyesha kwamba walikuwa serious.Walikula kiapo kisha ndoa ikafungwa.
Baada ya harusi, Sammy na mkewe wa masaa machache walisindikizwa na wana sherehe kwenye chakula cha usiku hotelini.
Baada ya vyakula kuletwa mezani, Bi harusi Lydia, alisema kwamba anatoka kidogo.
Lakushangaza bi harusi hakurejea tena.
Baada ya juhudi za muda mrefu za kumtafuta, ilijulikana kuwa alisafiri kwenda Mombassa na aliondoka na picha zote za harusi katika digital Camera kabla hazijasafishwa.
MAKUBWA HAYA.

Ki bongo, bi harusi huwa hatoki peke yake, wakati shughuli inaendelea, huwa na best/matroni ambaye anamsindikiza muda wote.
ni maajabu kweli kwamba aliweza kutoka kuachacha chakula, hapo hapo akapata usafiri na kulala mbele.. labda kweli ni maajabu tu yalitokea.
Harafu na camera akachukua....mhh plan hii.....