Ndoa si uwanja wa vita, ikifikia hali hii ni kheri muachane kwa amani

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,270
1564328274251.jpeg
 
huwa zinafika hio stage,ila watu hawashikagi magongo,kila mtu anachukua ustaarabu wake ikifika wakati wa kulala...😆😆😆
 
Njemba inalandana na Prof. Lipunguani.
(nipo dirishani kama nyie)
 
Ila ukitazama picha kwa jicho la tatu, inaonesha wanandoa hawana tatizo kati yao ila wameamua kujihami na vibaka ndiyo maana wote wamefumba jicho la dirishani ili jamaa wajue wamelala wafanye yao! Sijalala mwanangu utauwawa bure 😂
 
Haiwezekani ugomvi uwe wa kushikiana panga halafu eti mlale pamoja. Hao lengo lao ni kijilinda dhidi ya wahalifu wa nje!
 
Back
Top Bottom