Ndoa ni zaidi ya gwantanamo bay

Mr.creative

JF-Expert Member
Aug 8, 2011
492
117
Hello jf kati ya watu wanaoishi maisha ya hofu ,huzuni na stress kibao ni wale wanoishi katika ndoa nimefikiri kwa kina mmh nime come na hiyo hypothesis
una mtazamo gani as great thinker?
 
sijaingia huko ila ninahofu ya kuingia naogopa ngoja waliooa/ kuolewa waje watuelezee!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom