Ndoa ni suluhisho la tatizo la umiliki wa nyumba ndogo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndoa ni suluhisho la tatizo la umiliki wa nyumba ndogo?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by bbukhu, Feb 26, 2012.

 1. b

  bbukhu Member

  #1
  Feb 26, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu wanajamii wa jamiiforum mimi ni mwanachama mpya.

  Leo naleta mbele yenu hii mada tajwa hapo juu.
  Mara nyingi nimekuwa nikiwasikia watu wengi wakisema kuwa ili kuepukana na kuwa na uhusiano na wanawake au wanaume wengi basi hatuna budi kuingia katika ndoa. Lakini cha kushangaza ni kwamba sasa hivi ndoa imeshindwa kutatua tatizo la wanaume na wanawake walioko kwenye ndoa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na wengine walioko nje ya ndoa. Je, ni kwa nini? Mbona ndoa haijasaidia wanaume na wanawake kuanzisha nyumba ndogo?
   
 2. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #2
  Feb 26, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  kwa sababu nowadays upatikanaji wa k umekuwa rahisi sana...ukiwa na upenez unaweza pata any time....na pili matamanio yapo mengi...wanawake utangaza uzuri wao wazi wazi
   
 3. Vmark.

  Vmark. JF-Expert Member

  #3
  Feb 26, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Marriage is an institution of the blind......teh teh teh! Nyc weekend folk!!
   
 4. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #4
  Feb 26, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Wanawake wako wengi kuliko wanaume!
   
 5. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #5
  Feb 26, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,344
  Likes Received: 391
  Trophy Points: 180
  Matamanio ya kimwili na kuwa mbali na Mungu.
   
 6. M

  Manchago Member

  #6
  Feb 26, 2012
  Joined: Feb 18, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukiona hvy hao wanandoa wamelazimishwa hawakupendana, ila ndo ni sululisho mkuu
   
Loading...