Ni kweli usemayo,sisi ni wasaidizi,washauri nkMm siwez vumilia aisee..na hapo hamna ndoa tena....
Wanawake nao wanapaswa kuvumilia changamoto za maisha, msiwape kichwa sababu bwana zao wamepatwa na matatizo ya kiuchumi bac wako huru na wanahaki ya kufanya kinyume cha ndoa.. ..ndoa ni iheshimiwe na watu wote....
Wanawake wanamchango mkubwa sana ktk kumfanya baba afanikiwe....kwa hiyo baba anapofell..yeye nae anapaswa kujiuliza...
Mwanamke ni msaidizi, mshauri wa kila kitu kwa mume wake....ndo iko hivyo...hivyo bac si sawa kabisa et kisa jamaa kafulia au umepatwa na matatizo kiuchumi bac ndo inakua kinyume....
Hatuwabebeshi, unadhani kuitwa "kichwa cha familia" mchezo!!! Ni majukumu yenu kaka shemeji.
Kweli iliyochungu kabisa. Sema sasa maitumie hii mistari kutubebesha lundo la majukumu....
Hahahaaaa!!Kama mimi nililetewa wanaume mpaka ndani. Nimewaachia wanaojua kutunza sasa hivi amenenepa kama mbuyu. Alipokuwa anaishi na mimi alikuwa mwembamba kama sindano eti nashindwa kumtunza jamaa wakaanza kupishana tuu chumbani kwangu nikawaachia rasmi. Jana wamekula x-mas kwa raha bado mwaka mpya.
Sana tuuNaona karoho kanakuuma mkuu
Espy unanicheka mwenzio haya bhanaHahahaaaa!!
Hapana mkuu, yaani comment zako huwa najikuta nacheka tu. Mungu akujaalie hayo maumivu yaishe.Espy unanicheka mwenzio haya bhana
Kumbe mimi ni commedian nisiye jijua ee. Poa basi tuendelee kufurahia maisha yenyewe haya mafupi bhanaHapana mkuu, yaani comment zako huwa najikuta nacheka tu. Mungu akujaalie hayo maumivu yaishe.