Ndoa nazo zina mambo yake jamani

lwambof07

JF-Expert Member
Jul 12, 2016
2,460
2,000
Hellow hellow
Asikuambie mtu ndoa zina mambo sana ,kuna kile kiutaratibu ule muda wa kulala sasa umeshatoka kwenye mihangaiko yako mnakutana ile usiku mke anaanza kukupa ubuyu wa siku nzima na wewe kama unao unampagia halafu baada ya hapo mnajipongeza na kimoja cha mkwezi mna lala zenu
download (2).jpg
View attachment 2081271 View attachment 2081269
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom