Jamani watanzania wote (Christians and Muslims) ambao wako objective wanakubali kuwepo kwa mahakama
ya kadhi. Kikwete na Serikali yake wanakubali kuwepo kwa mahakama ya kadhi.
Kutokana na maelezo ya BR na Topical tumeambiwa kwamba mahakama ya kadhi ni suala la ibada kwa Waislamu.
Hapa ndiyo ugomvi (read kutoelewana kati ya waislamu and other believers kunapoanzia). Iweje basi suala la
Ibada ya Waislamu ligharamikiwe na kodi za wasio waislamu na waislamu? Kama waislamu wanavyopendekeza
mahakama ya kadhi iendeshwe na serikali.
Tunafahamu kodi ya serikali among other things inatokana na vyanzo vingine ambavyo ni haramu according
to dini ya kiislamu e.g pombe/vileo, Casino, mazao yatokanayo na nguruwe, Bank zinazo charge interest etc.
Je kodi hizo haramu ni halali kuendesha mahakama ya kadhi?
Mwisho, je kuna tatizo gani waislamu wenyewe kuendesha hiyo makahama ya kadhi ikizingatiwa kwamba ni suala
la hiari na la kiimani?
Ningependa BR unijibu haya maswali maana majibu ya akina FF na Topical nilishayapata