Ndoa mashakani: Nina miaka 30, sina hamu na tendo la ndoa!

Pamoja na kula vyakula vya asili jitaidi kuangalia mikanda ya ngono nayo itakusaidia
 
nionavyo mimi ni kua umepata mshtuko na uoga akilini kutokan n kujifungua either kwa tabu au kwa mateso..hvyo shida yako inawez kua n kiakili zaid kuliko hormone...! tafakari jiuliz alaf ongea n mwenzio awek akil yak sawa!! u know urself better
Kweli mkuu hili linawezekans pia au kingine labda alikuwa anajimusterbiate kipindi cha nyuma au hali ya kujifungua ilivuruga mfumo wa homoni ila miaka miwili ni kipindi kirefu sana kama ni kwaajili ya kujifungua
 
madam laden naomba uni PM kama unahitaji kweli suluhisho la tatizo lako, nitakuelekeza dawa na ukizitumia zitakuletea mafanikio, ila kama unaleta utani wa jambo hili humu, basi yote heri.
 
Mme wako kashapata Back Up acha wakusaidie ili hamu ikisharudi umtafute mwenyewe!!,😀.. Eti mwanamke anazingua akati kuna back up..tunaweza kaa hata miezi sita hasikii nikimwambia hizo habari maisha yataenda vizur tu
 
Ni matumaini yangu mu wazima....

Mimi ni mwanamke, 30s nipo kwenye Ndoa mwaka wa tatu na nina mtoto mmoja... Tatizo ni kuwa sina hamu kabisa ya tendo la Ndoa, yani sitak hata kusikia.

Mume wangu huwa anapenda sana huu mchezo wa wakubwa hali ilyopelekea ugomvi kila siku, basi sometimes najilazimisha ili mradi tu Mambo yaende,..

Cha kushangaza huu mwezi wa pili unaisha hatuna tena ugomvi wala hanianzi wala kuzungumzia habar za sex.

Imeibid akili ikae sawa, vinginevyo hapa naona kabisa ndoa iko mashakani,,,, katika tafuta ufumbuzi nimeshauriwa kutumia dawa inaitwa Spanish Fly Pro.

Naomba kwa anayejua wapi naweza ipata na bei yake au pia suluhisho mbadala.

Natanguliza shukrani.

Napatikana Dar
Yaani Kwa akili yangu Mimi ukunibania Apple siku moja Kesho naenda kutafuta nje. Je umemuelekeza mume wako tatizo lako. Au wewe unakipato Sawa na mume wako sasa unataka muwe Sawa hutaki kutombwa kabisa. Sasa unataka mwenzio aishije. Wewe Una roho mbaya
 
Simnyimi kwa kutaka, nampenda Sana na nataka afurahie Ndoa bt ndo hali ilonikuta,,, ndo Mana nmeamua kutafuta ufumbuzi
Hujisiki .umeshindwa hata kupanua k yako . Jamaa ajipigie akichoka aende akalale. Hata kama hujisikii ukimpanulia mapaja ukaacha ajisevie. Au machine ikiingia unapata maumivu. Yaani ilikubidi kama hujisikii panua mapaja mwache ale msosi akishiba anaenda kulala. Sipendagi mwanamke kama huyo . Sasa uliewa ili iweje
 
Ni matumaini yangu mu wazima....

Mimi ni mwanamke, 30s nipo kwenye Ndoa mwaka wa tatu na nina mtoto mmoja... Tatizo ni kuwa sina hamu kabisa ya tendo la Ndoa, yani sitak hata kusikia.

Mume wangu huwa anapenda sana huu mchezo wa wakubwa hali ilyopelekea ugomvi kila siku, basi sometimes najilazimisha ili mradi tu Mambo yaende,..

Cha kushangaza huu mwezi wa pili unaisha hatuna tena ugomvi wala hanianzi wala kuzungumzia habar za sex.

Imeibid akili ikae sawa, vinginevyo hapa naona kabisa ndoa iko mashakani,,,, katika tafuta ufumbuzi nimeshauriwa kutumia dawa inaitwa Spanish Fly Pro.

Naomba kwa anayejua wapi naweza ipata na bei yake au pia suluhisho mbadala.

Natanguliza shukrani.

Napatikana Dar
Nitafute kwa namba hii nikusaidie. 0769765512
 
Nenda kapime kisukari au pressure au unana na Dakatari akushauri. hayo magonjwa tajwa hupunguza hamu ya tendo la ndoa
 
Jf imearibiwa na wapumbavu kama wewe, hapa palikuwa ni sehemu yenye nidhamu na watu timamu mtu analeta tatizo seriously wewe unakuja na utumbo wako hapo. Poor you.
Sasa mkuu bhasi kamtie nyege wewee ili awee na hamu na mumewee
 
Ila wenzetu huwa mnaishi vipi kwenye ndoa zenu? Kwanini uliruhusu ugomvi kwenye swala lililonje ya uwezo wako? Kwanini usikae chini na mume wako mkaongea mkatafuta sulihisho la tatizo wote,.lingekuwa jepes Sana na wala kusingekuwa na ugomvi....

Jifunzeni kuzumza Kama wanna ndoa hasa kwenye masuala nyeti kaka haya sio mnakuja kujidhalilisha huku
 
mwenzio keshapata chepuko,,,,wewe hangaika na dawa tuu........zina faida na hasara....
 
Mume wangu huwa anapenda sana huu mchezo wa wakubwa hali ilyopelekea ugomvi kila siku, basi sometimes najilazimisha ili mradi tu Mambo yaende,..
Cha kushangaza huu mwezi wa pili unaisha hatuna tena ugomvi wala hanianzi wala kuzungumzia habar za sex.
Imeibid akili ikae sawa, vinginevyo hapa naona kabisa ndoa iko mashakani
😀😀😀 kumbe dawa ndogo sana!!..
 
Ni matumaini yangu mu wazima....

Mimi ni mwanamke, 30s nipo kwenye Ndoa mwaka wa tatu na nina mtoto mmoja... Tatizo ni kuwa sina hamu kabisa ya tendo la Ndoa, yani sitak hata kusikia.

Mume wangu huwa anapenda sana huu mchezo wa wakubwa hali ilyopelekea ugomvi kila siku, basi sometimes najilazimisha ili mradi tu Mambo yaende,..

Cha kushangaza huu mwezi wa pili unaisha hatuna tena ugomvi wala hanianzi wala kuzungumzia habar za sex.

Imeibid akili ikae sawa, vinginevyo hapa naona kabisa ndoa iko mashakani,,,, katika tafuta ufumbuzi nimeshauriwa kutumia dawa inaitwa Spanish Fly Pro.

Naomba kwa anayejua wapi naweza ipata na bei yake au pia suluhisho mbadala.

Natanguliza shukrani.

Napatikana Dar

Kimsingi kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa linatibika zaidi kisaikolojia kwa mwanamke, sidhani kama dawa ni suluhisho la kudumu. Hili tatizo lipo kwa wanawake wengi ambao hawataki kujisumbua kwanini wanapaswa kufanya tendo la ndoa, Tendo la ndoa kabla ya kufanyika lazma liathiri ufahamu wa mtu, wanawake wengi ambao wanahisia za kufanya mapenzi ukiwafuatilia huwa ni wanajenga hisia hizo kabla hata ya kukutana na hao wapenzi wao japo wapo wengine ambao wakati wowote bla kujali amejenga hisia au la wanaweza kupata hisia na kufika safari yao pasipo na shaka. Zipo njia nyingi za kuamsha hisia kwa mwanamke ambazo wanweza kuzitumia kuathiri ubongo ili tendo la ndoa kwa kiasi kikubwa litawale kwenye hisia zao.
 
Back
Top Bottom