Tee Bag
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 7,200
- 5,553
Kwema kabisa, Nina ujumbe wako
Safi mkuu, kwema?
Safi mkuu, kwema?
Ilitakiwa waishi vipimiaka 15 bado wanatikisana
Kitu ambacho wanawake hatukielewi mchepuko hawezi kukuoa kamwe!
Sasa kama hawezi kukuoa ya nini kuweka ndoa yako kwenye matatizo?!
Huyo mwanamke hamnazo kweli. Ndoa ya miaka 15 na mitoto juu bado anataka amuache mume aolewe na mchepuko!!? Wakati wapo warembo hawajakaa kwenye ndoa hata siku moja? Huyu ni mbinafsi sana
Nistue kesho nitakupa jibuIlitakiwa waishi vipi
Pole sana mkuu!Sasa upo wapi?dada mshauri mzuri sana maana hata ndoa yangu imevunjika kisa wife kapata mchepuko.
Karibu sana. Nipo tayari kuupokeaKwema kabisa, Nina ujumbe wako
Mkuu wanawake wengine wanaenda chuo baada ya kuolewa na hao ndo wanatiwa kweli kweli na classmates (ili wawafanyie assignments) pamoja na waadhiri ili wawape marks za bure. Maana majukumu yanawafanya shule inawasumbua hivyo wanaishia kuvuliwaa chupi hovyo hovyo na ili wapate walao grades wasi-disco.Bado kuna wanaume wanaoa wanawake waliofika chuo?
Binti yako hakikisha anaishia la saba.Bado kuna mazumbukuku yanaoa na tena elimu ndio kigezo chao kikuu.
Kila siku tunasema mwanamke aliyesoma sana ni mpumbavu, yaani kadri anavyozidi kusoma ndivyo anavyozidi kuwa mpumbavu na hili limedhibitika mara nyiiiingi sana, na linazidi kuthibika mfano angalia kama huyu anaeongelewa kwenye hii mada, tena ni msomi wa kada ya sheria, kada ambayo inaaminika ni ya Watu wenye reasoning ya hali ya juu, lakini angalia upumbavu anaoufanya. Sasa hapo elimu imemsaidia nini kama sio kumuongezea upumbavu?
Cha kustahajabisha kwa hii meseji kuna wapumbavu wataisoma hapa na wataishia kuniona mimi nimeandika upumbavu kwakuwa tu wao wanaamini katika kuoa hao wapumbavu ndio akili, na hawajui kwamba wao ndio wapumbavu kwa kuamini katika upumbavu.
Btw, nafurahi kukuona bado uko hai, inavyoonekana huko sehemu salama kama Sandton mpaka unapata muda wa kuchaji simu na kuingia mtandaoni, maana naskia huko sasa hivi kila mtaa ni "vuuu-vyeee-vyuiwee-gwsee-igwenya-wena jsejse!! Jse jsee!!" najaribu kuimba nyimbo za kizulu zinazoashiria vita. Kuna waraka nimeuona unatembea ukiwataka nyie "makwerekwere" kufikia tarehe 9 ya mwezi huu yaani leo hii, muwe mmeshaondoka nchini kwao vinginevyo watawageuza majivu nyinyi nyote. Haijalishi wewe ni documented au undocumented immigrant.
"gwinya, kslehee kslehee, kwere kwere"
Kisomi sana hii, kula likeBazaaaaziiii, pole mapenzi hayana mjanja!!
Unanishangaza kwa wewe kujifanya kushangaa kuwa mwanasheria hajui juu ya sheria ya ugoni, anajua saaanaaa ila mapenzi yana nguvu bwana,
Naona unataka kushift blame kwa mshikaji kweli usaliti haujawahi acha mtu salama.
Kukushauri take your time kudigest issue, kinachomsumbua bibie si mapenzi ni fantasy za kukumbushia mapenzi ya ujana ila hata yeye hajui hili, akimpata jamaa ( mwanasheria) awe wake kabisa atamzoea, atamchoka, atamwona wa kawaida ( kwa maana it is always greener on the other side of the garden) na process ya cycle ya fantasy za mapenzi itaanza upya kwa wakati huo anaweza kuwa anapata tamaa ya kuwa na wewe( bazazi)
Hizi fantasy hutokea ila inategemea sana maturity na willing power ya mtu kushinda hili jaribu
Kwani wewe huwa hutamani kurudia mambo uliyofanya ujanani huko??
MSAMEHE.
mahawara hawaachanagi
Bado kuna wanaume wanaoa wanawake waliofika chuo?
Huyo mwanamke hamnazo kweli. Ndoa ya miaka 15 na mitoto juu bado anataka amuache mume aolewe na mchepuko!!? Wakati wapo warembo hawajakaa kwenye ndoa hata siku moja? Huyu ni mbinafsi sana
La saba ni kapuku?Wameshindwa kuelewa kuwa tatizo sio shule, bali ni hulka, tabia, aina ya mahusiano mtu aliyoyaingia, back ground na mazingira yamechangia pakubwa wafike, walipofika. Upo ushahidi dhahiri wa PhD holders wameoana na ndoa yao ipo hadi leo, vile vile wapo makapuku la saba au la kwanza C ambao ndoa zao zimevunjika na zingine zipo ICU. Hiyo ni kasumba tu iliyojengeka kwenye jamii zetu za kiafrika hasa Tz.
Unasema? Hebu kuya tena pande hii ueleze ipojeSTAMINA PART TWO
MCHEZAJI ATI.N. X WA WIFE .KHA
Mchepuko ni kama gari ya Serikali, STK...utaipanda kila siku lkn haiwezi kuwa ya kwakoKitu ambacho wanawake hatukielewi mchepuko hawezi kukuoa kamwe!
Sasa kama hawezi kukuoa ya nini kuweka ndoa yako kwenye matatizo?!