Ndoa inanimaliza!

Majaribu2013

JF-Expert Member
Jul 3, 2013
952
1,043
#Majanga ,

Nina mke tumeoana miaka 4 iliyopita hatujafanikiwa kupata mtoto kinachonimaliza siyo hiki ila mke wangu hawezi kumaliza mwezi mmoja mzima bila kununa tena kwasababu ndogondogo tu za kitoto. akinuna inamchukua hata wiki moja hadi mbili kurudi kwenye hali ya kawaida. kibaya zaidi sasa ni kama amezidi maana hapati kabisa kurudi kwenye hali yake, ukifika wakati amenza kurudi kwenye hali yake ghafla anajikwaza tena na kununa hivyo muda wote sasa amenuna. nasikia maumivu makali sana moyoni juu ya jambo hili, nahitaji kufanya maamuzi magumu lakini sijui njia ya kufuata.

ushauri wako utanisaidia
 
Huyo mkeo dawa yake sio kumuacha bali ushauri

Kwanza jitahidi kuwa rafiki yake na kama suala hilo la kutokupata mtoto unaliongelea sana punguza na ikiwezekana acha kabisa kuliongelea na jitahidi kuwa karibu yake kisha nendeni kwenye kituo cha afya mkapime ili mjue tatizo liko wapi na mkijua mlifanyie kazi

Kama mkikuta hakuna mwenye tatizo jitahidi sana kutokulizungumzia hilo katika hali hasi,mpeleke kwa wataalam wa ushauri na atakuwa bomba tu

Malezi yametuharibu sana kuhusiana na suala zima la kuzaa na kupata mtoto
Mtu akiwa hana uwezo huo huonekana kama amepungua ubinadamu wake kwa 70% hivi
Ujinga huu sijui utaisha lini

Katika mambo ambayo hayaniumizi akili ni hili!
 
mwombee kwa kusali na kufunga (serious), hakuna lisilowezekana kwa MUNGU..
---
---
sambamba na hilo, just a question to you, ulimuoa kwa ridhaa yako au kuna
some external factors zilikuforce umuoe huyo mkeo kipenzi
 
Huyo mkeo dawa yake sio kumuacha bali ushauri

Kwanza jitahidi kuwa rafiki yake na kama suala hilo la kutokupata mtoto unaliongelea sana punguza na ikiwezekana acha kabisa kuliongelea na jitahidi kuwa karibu yake kisha nendeni kwenye kituo cha afya mkapime ili mjue tatizo liko wapi na mkijua mlifanyie kazi

Kama mkikuta hakuna mwenye tatizo jitahidi sana kutokulizungumzia hilo katika hali hasi,mpeleke kwa wataalam wa ushauri na atakuwa bomba tu

Malezi yametuharibu sana kuhusiana na suala zima la kuzaa na kupata mtoto
Mtu akiwa hana uwezo huo huonekana kama amepungua ubinadamu wake kwa 70% hivi
Ujinga huu sijui utaisha lini

Katika mambo ambayo hayaniumizi akili ni hili!

Ushauri umefanyika sana na hata kupima tumepima wote zaidi ya mara 3 daktari alisema hatuna shida. sina muda na wala sijawahi kulizungumzia hili suala katika negative side zaidi ya kumtia moyo tu kuwa ipo siku mungu atattenda. nimejaribu sana kuwa rafiki yake lakini wapi
 
Pole sana mtumishi wa mungu
ingawa umesema kinachomnunisha si mtoto kwa ulimwengu wa roho napenda kumuunga mmoja wa hoja hapo juu mtooto ndio tatizo..na kinachoonekana wewe ni src ya kuzungumzia mtoto ..ingawa si dk ali mtoto ni baraka za bwana ....ndoa ni muhimu na mtoto ni majaliwa ushauri basi

najua miaka minne ni mingi na inawezekana anachonuna anhisi unatafuta mtoto nje ..jitahdisana uwe nae karibu ..kuna waliokataa tamaa na watotot na mungu ni shahidi yangu na mi ni mmoja wao ingawa ilichukua mwaka mmoja na nusu ila kama bnadamu mungu mmoja mwamini mungu .....

1..kama mmedhamiria mweleze ukweli halisi mkeo kwamba wakati wa kujaribu kwenda kwa ma dk..ni frha yangu kuona dk3s wa jf wakitoa sehemu mbli mbali za kwenda mnachofanya mnapima wote wawili wala usiogope...mi ninajua sehemu moja pale mbuyuni ukielekea posta ...kulia kuna hosp ya wazazi..ni baba mzuri ssana ni garama kidogo lakini mungu anakwenda kuwafungua..na moja ya mahitaji yake ni wote wawili kwenda so mnaitajika ukubali wenu wawili....

2.kununa kwenye ndoa chaa kawaida ..wala usiiogope ukuzaliwa nae kusema mmetunza pamoja ..kama uamini angalia ndugu zako wa damu mnaowashiaana moto mpaka sasa sembuse huyo

3..shekeli
hili ni kitengo kingine muhimu kinachosumbua ndoa ..mnaitajika uwazi wa shekeli zenu ..aisewezkani
mmoja ananunua gari kwa mkopo siku ya kulipa unashangaa majembe wanakuja wakikuta na la mwenzio wanachukua unaishia kulipa deni la mwenzio usilolijua..hii si vyema
kuwa kama mimi baba na mama tunaweka mezani
tunapanga maihitaji ya mwezi mzima ,,inabaki kadhaa tunatoa kiasi hiki ni kwa ajili ya benki zetu za madafu...mungu akikupa watoto ni muhimu pia mnawaweke benki hata laki moja ama mbili kwa mwezi kadri utakavyoongozwa

4..kununa kuna mambo mengi
unajua unapomwibia mungu si lazima akufukuzishe kazi no anaweza kutibua nyumbani mpaka ukawa na akili timamu..sasa basi pengine zaka hutoi kabisa sadaka ni majawaliwa sasa kuna sehemu za kukurudisha kwenye mistari kama hizi so kuwa makini na kutomwibia mungu

ngoja nikale kwanza nitakuja na muendelezo wa kwa nini kuna kunununa kwenye ndoa
 
Hivi unajua kuwa unaweza kuwa umekunywa dawa ya kuponya kichocho wakati unaumwa malaria?
 
Yaani yote uliyosema hapa hakuna hata moja lilitendeka hapa kinyume na ulivyosema.
kwa daktari tumeenda vyakutosha hakuna tatizo na sina mua wa kuzungumzia hili suala in a negative way na wala siyo mara kwa mara. yaani unasema suala la kununiana ni la kawaida? pole
suala la kununa halijaja sababu ya kukosa mtoto uelewe tangu tu tulipooana.
suala la pesa siyo shida hapa na wala hayo ya uwazi si shida, kanisani ameombwa sana lakini mh!
 
Ndoa ni vita jamani, especially nyakati hizi za hatari!wapo wanatamani kuingia na wengine wengi walio kwenye ndoa wanatamani kutoka. Pole sn kka Mungu akutie nguvu na kukupa subira, yatapita tu hayo ni nimajaribu!Mkeo anahiji kansellin tu, mtafutie mtaalamu wa saikolojia.Lakini pia endeleeni kusali!
 
#Majanga ,

Nina mke tumeoana miaka 4 iliyopita hatujafanikiwa kupata mtoto kinachonimaliza siyo hiki ila mke wangu hawezi kumaliza mwezi mmoja mzima bila kununa tena kwasababu ndogondogo tu za kitoto. akinuna inamchukua hata wiki moja hadi mbili kurudi kwenye hali ya kawaida. kibaya zaidi sasa ni kama amezidi maana hapati kabisa kurudi kwenye hali yake, ukifika wakati amenza kurudi kwenye hali yake ghafla anajikwaza tena na kununa hivyo muda wote sasa amenuna. nasikia maumivu makali sana moyoni juu ya jambo hili, nahitaji kufanya maamuzi magumu lakini sijui njia ya kufuata.

ushauri wako utanisaidia
mwanamke yeyote akichelewa kupata mtoto huwa ananuna hivyohivyo, na anavyozidi kuwa na stress ndivyo anavyovuruga mwili wake na anatakavyozidi kuchelewa kupata mtoto. unatakiwa umfariji, kuna siku akipata mtoto atakuja kuwa mtu wa furaha sana. subiri tu.
 
Back
Top Bottom