Majaribu2013
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 952
- 1,043
#Majanga ,
Nina mke tumeoana miaka 4 iliyopita hatujafanikiwa kupata mtoto kinachonimaliza siyo hiki ila mke wangu hawezi kumaliza mwezi mmoja mzima bila kununa tena kwasababu ndogondogo tu za kitoto. akinuna inamchukua hata wiki moja hadi mbili kurudi kwenye hali ya kawaida. kibaya zaidi sasa ni kama amezidi maana hapati kabisa kurudi kwenye hali yake, ukifika wakati amenza kurudi kwenye hali yake ghafla anajikwaza tena na kununa hivyo muda wote sasa amenuna. nasikia maumivu makali sana moyoni juu ya jambo hili, nahitaji kufanya maamuzi magumu lakini sijui njia ya kufuata.
ushauri wako utanisaidia