....... Siupendi kabisa usemi usemao ndoa ndoano... sipendi.... lakini mpwa wangu ana chini ya miezi 4 ndani ya ndoa yaani ni ndoa changa......... lakini jamaa kesha mtoa jino na ngeu na kumharibia reception yake.... jamani ndoa hii ni ya Kanisani.........hivi kwa hali kama hii kuivunja ndoa hii kuna makosa kweli?