Ndoa ina miezi mitatu, keshang'olewa jino na ngeu kwenye Reception

pilau

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
1,593
443
....... Siupendi kabisa usemi usemao ndoa ndoano... sipendi.... lakini mpwa wangu ana chini ya miezi 4 ndani ya ndoa yaani ni ndoa changa......... lakini jamaa kesha mtoa jino na ngeu na kumharibia reception yake.... jamani ndoa hii ni ya Kanisani.........hivi kwa hali kama hii kuivunja ndoa hii kuna makosa kweli?
 
Je mpwa wako ametulia mpaka wataka kumtetea?
Je umeshawahi kuchunguza ni nani chanzo cha ugomvi huo?
Tupe chanzo ili tuwezekumhukumu.
 
mi
nadhani enzi za kuwapiga wanawake kisa wamekosea zimepitwa na wakati! kama amekosea talk to her coz nae ni binadamu!
kama haelewi kuna taratibu za wadhamini wa ndoa, wakwe, kanisani n.k sio kumpiga
 
Ndoa ni ya watu wawili tu..cc wengine ni washauri tu ..so usipoteze muda coz kule kwetu usipompiga mkeo unaonekana humpendi..kwahiyo kuna factors nyingi sn za kuangalia hapo kabla hujatoajudgement
 
hijalishi chanzo cha ugomvi......kupigana haikubaliki....wakishindwana waachane kistaarabu

Ndoa ya kanisani hakuna kuchana, labda ya bomani, mkiachana jua hamkuwa mnajua mlolikuwa mnafanya mbele za Bwana.
 
Je mpwa wako ametulia mpaka wataka kumtetea?
Je umeshawahi kuchunguza ni nani chanzo cha ugomvi huo?
Tupe chanzo ili tuwezekumhukumu.

Haaa! SAUDARI wataka kutuambia kama mpwa wake hajatulia ndio mume ana haki ya kumng'oa jino? Sababu yeyote iwayo, mume hana haki ya kumpiga mkewe! Huwa napatwa na hasira sana nikiona au kusikia mwanaume kampiga na kumuumiza mkewe. Kunapo magumi mie huwa siangalii suala la kufunga ndoa kanisani wala nini, bora kuachana. Khaaa! Kwa uhalali gani ulionao unitie ngeu?
 
Last edited by a moderator:
Hivi ndani ya hali ya sasa kuna watu wanawapiga wake zao mpaka kuwaondoa meno aise
Wameshindwa kusuluhisha tofauti zao mpaka watoane ngeu
Balaa kabisa
 
mwaJ hapo ndio ninapoona tofauti sana aise
maisha haya ya kuhangaika hivi bado mna muda wa klupigana
Kwa nini huyo mume asitafute uwanja akatangaza pambano akapata pesa kuliko kuja kumpiga mwanamke ambaye kw aupande mwingine hana hata defence
na kosa lenyewe unaweza kuta dogo sana
 
anisogezee mimi huyo mdume nimnyooshe ,namtegeshea shot ya umeme na akili itamkaa sawa kabisaaaaaa
 
mwaJ hapo ndio ninapoona tofauti sana aise
maisha haya ya kuhangaika hivi bado mna muda wa klupigana
Kwa nini huyo mume asitafute uwanja akatangaza pambano akapata pesa kuliko kuja kumpiga mwanamke ambaye kw aupande mwingine hana hata defence
na kosa lenyewe unaweza kuta dogo sana

Sikiliza Mr Rocky, ndo maana nikamwambia huyo mtoa mada aeleza kisa ni nini
coz huenda huyo jamaa alipandwa na hasira na akashindwa kujizuia kuzionyesha
hisia zake za ndani.
 
....... Siupendi kabisa usemi usemao ndoa ndoano... sipendi.... lakini mpwa wangu ana chini ya miezi 4 ndani ya ndoa yaani ni ndoa changa......... lakini jamaa kesha mtoa jino na ngeu na kumharibia reception yake.... jamani ndoa hii ni ya Kanisani.........hivi kwa hali kama hii kuivunja ndoa hii kuna makosa kweli?

acha kuingilia ndoa za watu, halafu JF haisuluhishi ndoa zenye matatizo, matatizo ktk ndoa yanasuluhishwa na wanando wenyewe sio JF au ktk vyombo vya habari...
 
mwaJ hapo ndio ninapoona tofauti sana aise
maisha haya ya kuhangaika hivi bado mna muda wa klupigana
Kwa nini huyo mume asitafute uwanja akatangaza pambano akapata pesa kuliko kuja kumpiga mwanamke ambaye kw aupande mwingine hana hata defence
na kosa lenyewe unaweza kuta dogo sana

Ni kweli kabisa, mara nyingi mwanamke huwa hana uwezo wa kurudisha hayo magumi au hata kujitetea. Mbaya zaidi mtu akishapigwa wala haendi kushtaki anabaki kujifungia ndani kujiuguza kimya kimya kisa watu watanishangaa namshtaki mume polisi.
 
mi
nadhani enzi za kuwapiga wanawake kisa wamekosea zimepitwa na wakati! kama amekosea talk to her coz nae ni binadamu!
kama haelewi kuna taratibu za wadhamini wa ndoa, wakwe, kanisani n.k sio kumpiga

Je kama umemkuta anaDO na mwanaume mwingine utamuacha tu.
Sema sasa ema21.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom