Kwa mwanaume mwenye hekima na busara lazima apigane hadi tone la mwisho ili
kuifanya ndoa isivunjike. Sio kwamba ni kichekesho ila ni simulizi ya kweli aliyokumbana
nayo rafiki yangu wa karibu. Rafiki yangu huyo ni mwaminifu kwa kiasi kikubwa (not 100%)
kwenye ndoa yake, kutokana na hilo wanaheshimiana sana na mke wake, hivyo ni ndoa
ambayo kila mtu angetamani kuiga kwa jinsi wanavyonekana kuishi kwa furaha na upendo
(japokuwa hatujui mambo ndani). Siku moja wakati jamaa yangu akirudi nyumbani toka
kazini foleni zilimzingua (kama ujuavyo foleni za Darisalama) akamua kuegesha gari lake
kwenye pub moja hivi ili foleni ipungue. Akapata moja ya baridi, mara ya pili, ya tatu,
ya nne Kushoto kwake kukawa na mrembo naye pia anabariizi na moja ya baridi.
Jamaa baada ya kukolea na bia akanzisha stori na huyo mrembo, mwisho maongezi yakabadilika
na kuanza kuombana mambo ya wakubwa, oh, mara wakaelekea nyumba ya wageni wakati wote
ni wakazi wa Darisalama. Baada ya pombe kupungu mukichwani, kushtuka ni saa tisa usiku,
hayuko home, na my wife wake kapiga sana simu (kuna, missed call kama kumi hivi) na kuna missed
call za kakake, shemeji zake n.k. Akapiga akili za mukichwani mara akapata mawazo; ilipofika saa
kumi usiku akajipeleka kituo cha police. Kufika police akaongea na askari wa zamu (of course alimkatia
kitu kidogo) ili amuweke ndani kwa kosa la kuleta vurugu na kushambulia akiwa pub. Ikabidi police
ampigie simu my wife wa jamaa kumweleza yaliyomkuta mumewe na alimtaka afike kituoni saa moja asubuhi
kumwekea dhamana wakati wanasubiri kumpeleka mahakamani j3 (siku hiyo ilikua usiku wa kuamkia
jumamosi). Ikabidi wife wake akimbie haraka sana kwenda kituo cha police kuweka dhamana.
Basi my wife wake ni kumpa pole tu my husband wake kwa kwenda mbele, kesi yenyewe fake ilishia
kwa askari wa zamu.
Tahadhari;
1. Usijaribu kufanya hivyo, maana unaweza ukaacha loophole ambayo itatiliwa mashaka.
2. Ukikosea kwenye ndoa usitumie nguvu kurekebisha mambo, tumia busara na akili 'ku-solve'
3. Inawezakana my husband wako kweli kakamatwa na kulala lupango wewe ukafikiria ni masihala.
hata kama una mashaka lakini huna 'evidence' mezea tu ili kulinda amani na upendo.
Fundisho; Linda ndoa yako kwa gharama yoyote kwa manufaa ya watoto wako na wewe mwenyewe