Ndoa halali, ndoa batili na ndoa batilifu. Je, wajua pia kuna msamaha halali wa kweli, msamaha batili na msamaha batilifu? Msamaha ule ni batilifu!

Najua jamaa alikuita kwenye ile kamati yake enzi za utukufu wake, lakini asamehewe tu kama alivyoomba. Amekosa jamani, amekosa sana, wazanzibari ..... I mean watanzania tumsamehe.
 
Pascal leave the speaker alone...usitumie hii kama fimbo ya kumuadhibu, hata kama hukustahili kuhojiwa wakati ule msamehe tu.
 
Kwa kinachoendelea hapa ikulu busara kwa Ndungai ni kujiuzuru tu hakuna kingine anaweza fanya kurekebisha mambo
 
Kilichomtoa mayala kwenye ramani ni hizi riwaya zake za kutetea waovu na kujipendekeza kwa watawala.

Wewe Mayala utafika mbinguni unachachamaa
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom