Ndoa gani humu JF unadhani itavunjika iwapo tutatakiwa kuweka picha(avatar) za ukweli?

tunalazimika

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
1,098
256
unajua nimekuwa nikifuatilia malav dav ya kila cku humu jf na jinswatu wanavyozichapa kwa ajili ya madem huku hakuna hata moja aliyejitokeza kumtaka FaizaFoxy, kwa kuwa mim nabahat ya kuwajua weng kwa sura zenu halis wana jf weng, basi nikapenda kuwadokeza tu kuwa mngekuwa mnamjua FF kwa sura yaan sio mkubwa kama mnavyodhan na ni bonge la mstaarabu. Yaan naamin wakware kama akina . . . . . . wangehamia CCM kumfuata FF na ndoa kibao kama za akina Husinyo zingekufa kama navyomjua mim_tafadhal taja ndoa nyingne unazodhan zingevunjika iwapo tutakutana kwny party au kuweka avatar za ukweli
 
yaan kwa kwel tungeweka picha ingetusaidia kwel kufanya maamuz sahih, najua weng hampendi kwsbb chance zenu akina hashycool na chatu dume tungewachukulia kiulain_yaan kungetokea reshufle isiyo ya kawaida kimya kimya kama Mwananzila kutoka shinyanga kwenda Lindi
 
mida hii ni mibovu sana humu jamvini, yaani kila mtu anatoka kivyake tu bila hisia wala nini
 
hizi sio pombe,ni petrol ama glue! hivi kwa nini kusiwe na rehab humu,kina klorokwini na aspirin wakawa wanatibu watu?
 
Wana JF bhana hamchoki kunishangaza ... Yani mnafuata upepo kama nini... Post ya kwanza ikishaiponda thread basi na nyie wote mnaingia humo humo kinyume nyume.... Mbona thread ya ukweli na ipo sehemu yake ya chit chat .. Angeiweka kule kwenye jukwaa la siasa hapo ningekubaliana na nyinyi ...
Back to the topic
FF namkubali sana sema alinitolea nje kavu kavu nikawa mdogo
 
unajua nimekuwa nikifuatilia malav dav ya kila cku humu jf na jinswatu wanavyozichapa kwa ajili ya madem huku hakuna hata moja aliyejitokeza kumtaka FaizaFoxy, kwa kuwa mim nabahat ya kuwajua weng kwa sura zenu halis wana jf weng, basi nikapenda kuwadokeza tu kuwa mngekuwa mnamjua FF kwa sura yaan sio mkubwa kama mnavyodhan na ni bonge la mstaarabu. Yaan naamin wakware kama akina . . . . . . wangehamia CCM kumfuata FF na ndoa kibao kama za akina Husinyo zingekufa kama navyomjua mim_tafadhal taja ndoa nyingne unazodhan zingevunjika iwapo tutakutana kwny party au kuweka avatar za ukweli

Title na maelezo mashariki na magharibi.........
 
Back
Top Bottom