Ndo tumefikia hapa

Goldman

JF-Expert Member
Dec 10, 2010
1,930
2,397
Niko manzese saa 7 usiku nagonga beer, its weekend aisee wamekuja police wametukimbiza wametupa beers zimepigwa risasi tatu hewani, yaani leo tz tumefikia hapa hivi ccm mnatufikisha hapa! Vinywaji mezani vyote vimemwagwa! Bar ni erado! Hivi police anaruhusiwa kupiga risasi hewani tena tatu, na kumwaga vinywaji vyote!
Point siyo manzese point ni askari kupiga risasi hewani tatu bila kuwa kuudhiwa pia kumwaga beer zote za mezani kwa wateja.
 
Hao polisi watakuwa na kinyongo na mwenye baa. Mwambie mwenye baa aache mkono wa birika awe anatoa pesa ya 'Diesel' kwa ajili ya night patrol!
Mwambie ajifunze kufanya kazi na 'serekali' mambo yake yataenda saafi. Hapo mtakuwa mnakesha hadi asubuhi bila bugdha!
 
Yaani mnaliwaza nafsi zenu kwa mvinyo halafu mnabughudhiwa? Mbaya sana hiyo. Waambieni waache wivu. Huo ni wivu dhahiri shahiri!
 
saa saba tu mmefurumshwa wakati watu wanatoboa hadi asubuhi mkuu, hang over ikiisha kumbuka vizuri chanzo urudi
 
Niko manzese saa 7 usiku nagonga beer, its weekend aisee wamekuja police wametukimbiza wametupa beers zimepigwa risasi tatu hewani, yaani leo tz tumefikia hapa hivi ccm mnatufikisha hapa! Vinywaji mezani vyote vimemwagwa! Bar ni erado! Hivi police anaruhusiwa kupiga risasi hewani tena tatu, na kumwaga vinywaji vyote!
Point siyo manzese point ni askari kupiga risasi hewani tatu bila kuwa kuudhiwa pia kumwaga beer zote za mezani kwa wateja.
Bila shaka mliwanyima hata za offer
 
Hili sio la kuwalaumu polisi,baa zinatakiwa kufungwa saa tano,nyie mnafakamia bia hasi saa saba usiku,kwanza mnawatia hasira...siku hizi nati zimebana hata kuwahonga mnawapa buku,unadhani anajisikiaje yeye kama bia ya mwisho kunywa zilikuwa mbili ambazo alipewa kwenye harusi ya jirani ambayo hata hivyo kadi alipewa kwa huruma ya ujirani kwani hakuchanga!
 
Bia ninanunua supermarket, hizo za bar labda kama Nina miadi na mtu. Tena nyumbani nikilewa ninatambaa kwenda chumba ni wala si wazi kuendesha gari
 
Polisi wetu wamefundishwa utii na kulinda raia. Hao watakua wahuni tu. Upelelezi unaendelea.
[HASHTAG]#FuturePressConference[/HASHTAG]
 
Polisi wetu ni wakarimu sana, wanajali utu wa watu na mali zao.
Hao ni watu wasiojulikana.
 
Kuhusu kumwaga bia sioni tatizo.....inaonekana mzee kipato kiko safi utanunua ingine...risasi tatu hewani mmmh uarabuni ungenyongwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom