Ndo nshaingia ivo!

mkonowapaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
1,493
767
Hodi jamvini wana JF..nimekua nikifuatilia mada za humu ndani kwa mda mrefu sasa nimeamua nijitose mzima mzima baada ya kuzikamata vilivyo sera na fursa mbalimbali zilizomo humu ndani

Nisiongee mengi tukutane kwenye mathreads..hasa hasa zile za mape!!

by mkono wa paka
 
Karibu habari ya Salender? Lango limefungwa?

Haya weka virago vyako hapo mlangoni keti usubiri Invisible akufanyie orientation ya nyumba kisha utachagua chumba kilichokufurahisha utue mizigo yako ila kumbuka unaruhusiwa kutembelea hata vyumba vya wenzako isipo kuwa tu kuna vya kina baba na mama, wageni wa kiume na wageni wa kike hivyo utaingia baada ya kugonga hodi na kupewa ruhusa na ufunguo sawa?
 
Karibu mkono wa paka utulie humu humu usiende wapa watu usumbufu tena ile mitaa ya salender,ila huku utayamiss sana mabusu!!
 
karibu.kumbuka mkono mtupu haulambwi.............changia ili jf itambae zaidi na zaidi
 
Hivi haya majina yenu au maana unatutisha tusije tukakupinga ukatuchungua oohhhhhhhhoooooo!!!!!! ila ni jina au jini???? be care hapa kuna waganga kibao shauri zako. haya karibu usitubadilishe mikono yetu
 
welcome.
nyie ndi mnajazanaga kama guest. teh teh. iko nakosa mambo mengi halafu hamjui.
 
karibu kumbuka maombi. hapa utapata presha maana unapata vitu live bila zengwe kwani utaona inji hii inavyoliwa na wajanja
 
Karibu mkono wa paka,kwa kuwa wewe unatumia chuichui nami sipo nyumbani kwa sasa,fungua jokofu,anza kuburudika mie nipo njiani nakuja,lakini jina lako utata?
Nahisi utalala maana ninge kuonyeosha na sehemu ya salender bridge,askari kibao mambo mengi ya ajabu ajabu.Anyway karibu mkono wa paka,nadhani nitakukuta.
 
Karibu bana, manake umeingia kwa makeke na mkwara mzito halafu unasema utakuwa unashinda huko kwenye jukwaa la mapenzi, ndo kilichokuvutia humu? Ila iko tfauti na ile Utamu yenu. Welcome!
 
Back
Top Bottom