Ndo maana waume/mabwana zenu wanaficha hela

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,491
54,884
habari yako?
Tatizo lenu wasichana mukishaona hela mipango inazidi matumizi.eti "unakumbuka uliniahidi kuninunulia kitu fulani?"kisa kaona leo mfukoni una hela.nyie mkishaona hela ndo kila tatizo mnataka litatuliwe siku hiyo la sivyo hakuna unyumba.halafu kuna kikauli fulani kinanikela..!!.eti "usiponipa hela leo ntajua hunipendi".kwangu ukisema hivyo ndo umelikoroga,sikupi hata shilling kumi.ponguzeni tamaa,saa nyingine ile hela inakuwa ya office,ya kulipa deni au nimemshikia mtu.musiwe wa kulaumu.mia
 
Leo naona kidogo afadhali naweza toa tisini hahaha! niliwahi kuitwa kusuluhisha wanandoa mume kaacha laki unusu safari ya siku 4 mke akanunua perfume ya laki baada ya siku mbili kapiga simu hela imeisha.
 
Laki na nusu siku nne, watu wanaachiwa af 20 na mtu hajulikani anarudi lini, wanawake wengine hawatumii akili, hapo angenunua zake kilo mbili nyama, kuku wawili, samaki kilo mbili najua mchele na unga maharage viko ndani, anamaliza wiki hapo na kama wako wachache hadi wiki naa hapo zinazobaki sasa hapo unajidai na hauzitumii mpaka uone amerudi kwa hiyo unauhakika wa maisha yako na watoto kama unao
 
Shostito Bronty sio kila mwanamke ana akili kihivi...kuna uncle wangu huwa tunamuenjoy akileta malalamiko ya mke wake home,tunamwambiagaa 'wakati Mungu anawaita wanaume waje wachague wake wewe ulichagua kabati' ..Yaani huyo aunt yangu hajuagi hata kununua vyombo vya jikoni ye ni nguo tu hadi noma yaani.

Mleta mada a.k.a Mia,ukikutana na wa hivyo u have to think twise before moving to a ahigher level,kuna siku utalazwa njaa hela imenunua kiatu ooooho!
 
Leo naona kidogo afadhali naweza toa tisini hahaha! niliwahi kuitwa kusuluhisha wanandoa mume kaacha laki unusu safari ya siku 4 mke akanunua perfume ya laki baada ya siku mbili kapiga simu hela imeisha.

hahahaaa...!!mkuu nakupa tahadhali,usije ukasuluhisha kesi za wanandoa ukawashauri waachane.ukifanya hivyo jua imekula kwako.hata kama mmoja unaona ana makosa we sema vumilia ndugu yangu hayo yataisha.ukijifanya mjanja imekula kwako.mia.
 
Shostito Bronty sio kila mwanamke ana akili kihivi...kuna uncle wangu huwa tunamuenjoy akileta malalamiko ya mke wake home,tunamwambiagaa 'wakati Mungu anawaita wanaume waje wachague wake wewe ulichagua kabati' ..Yaani huyo aunt yangu hajuagi hata kununua vyombo vya jikoni ye ni nguo tu hadi noma yaani.

Mleta mada a.k.a Mia,ukikutana na wa hivyo u have to think twise before moving to a ahigher level,kuna siku utalazwa njaa hela imenunua kiatu ooooho!

mkuu nimteme?mia
 
pole sana kwa kuingia choo cha watoto. Huyo hafai hata kidogo.

mkuu nmekusoma na mawazo yako nayaheshimu sana.kwa hiyo bora mtu aendelee kubadilisha mahabubaz hadi atakapo pata anayefaa.uongo?mia
 
Mia acha uchoyo basi, mbona hivo, kuombwa pesa za salon imekuwa shida

mkuu mwenyewe sometimes huwa nafunguka.lakini napenda kuona mpenzi wangu akiishi maisha halisi pale inapo bidi.siyo eti kwa sababu husninyo kanunua kiatu na yeye atake kiatu kama cha husninyo bila kufikiri husninyo kapataje kile kiatu.mia
 
Back
Top Bottom