figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,890
habari yako?
Tatizo lenu wasichana mukishaona hela mipango inazidi matumizi.eti "unakumbuka uliniahidi kuninunulia kitu fulani?"kisa kaona leo mfukoni una hela.nyie mkishaona hela ndo kila tatizo mnataka litatuliwe siku hiyo la sivyo hakuna unyumba.halafu kuna kikauli fulani kinanikela..!!.eti "usiponipa hela leo ntajua hunipendi".kwangu ukisema hivyo ndo umelikoroga,sikupi hata shilling kumi.ponguzeni tamaa,saa nyingine ile hela inakuwa ya office,ya kulipa deni au nimemshikia mtu.musiwe wa kulaumu.mia